Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,114
- 9,280
Anahitaji kila kitu, fedha na elimu bora. Kwahiyo sioni tatizo lolote kwa JK kumpa zawadi ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri
kama anaitaji vyote viwili mbona amempa kimoja? Na kile cha elimu bora kamnyima? Na kwanini anasubiri mtoto akate mauno ndipo ampe hiyo sh.elfu moja? Wewe na raisi wako mnatumia masaburi..!
Anahitaji kila kitu, fedha na elimu bora. Kwahiyo sioni tatizo lolote kwa JK kumpa zawadi ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri
kwa ufupi wa mawazo yako unadhani elimu bora na fedha vinatolewa na rais mfukoni....Anahitaji kila kitu, fedha na elimu bora. Kwahiyo sioni tatizo lolote kwa JK kumpa zawadi ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri
Siyo kazi ya Rais kugawa elimu kama karanga. Huyo mtoto atapata elimu darasani.
Pesa aliyopewa itamsaidia kupata Elimu.
kwel kiboko...anatumia masaburi kufikiri
Mcheza kwao hutunzwa.
View attachment 38500View attachment 38500
Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kumzawadia fedha, mtoto Liano Adamu (7) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ruaha Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro baada ya kuvutiwa na uchezaji wake wa ngoma ya Lizombe ya kabila la Wangoni. Rais yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Nyuma ya Rais ni Mkuu wa Mkoa, Joel Bendera. (Picha na John Nditi).
RAIS AKITOA MSHIKO BAADA YA MTOTO KUKATA MAUNO KWENYE NGOMA. SWALI LANGU, HUYU MTOTO KWA UMRI WAKE ANAHITAJI FEDHA AU ELIMU BORA?
We mtu hivi unafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili. Hivi hiyo ngoma ya Lizombe ni applicabke kwa maisha ya huyo mtoto kweli!Hivi wale wanae wawili wadogo nao wanachezaga hizo ngoma! Mi nilizani angemuaita huyo mwalimu wa huyo mtoto amuulize kwanini mtoto anakuja kucheza ngoma wakati wa masomoAnahitaji kila kitu, fedha na elimu bora. Kwahiyo sioni tatizo lolote kwa JK kumpa zawadi ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri