Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,039
- 3,486
Mwinyi will end up in Zanzibar and he won't be given an opportunity to be statesman of teh United Republic of Tanzania due to his indirect message delivery to the audience. He is currently being applauded in Zanzibar but time is very close when he start experiencing the harcore political challenges.Rais wa Zanzibar leo ametangaza rasmi kuwa Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa korona na ametaka taadhari za lazima sasa zichukuliwe.
Kauli hii ni ya kwanza kutolewa na kiongozi wa juu wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na pia ni tofauti kabisa na kauli zinazotolewa na Rais Magufuli.
======
Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi akiwa katika ibada ya Ijumaa katika msikiti wa Mfereji wa Wima amedokeza kuhusu kuwapo kwa gonjwa la Corona katika Kisiwa hicho.
Akiongea na Waumini baada ya swala ya ijumaa Dkt. Mwinyi amesema "Ndugu zangu tumekabiliwa na tatizo hili la ugonjwa wa Covid ulioathiri afya lakini pia umeathiri uchumi wa nchi yetu. Lakini Alhamudulillah muelekeo unaonekana ugonjwa huu unapungua na Insha Allah kwa dua zetu sote utakwisha na In Shaa Allah uchumi wetu utarudi katika hali ya kawaida na utaongezeka zaidi."
Zaidi ya hayo, Dkt. Mwinyi ameshukuru Viongozi wa msikiti kumpa nafasi ya kuongea
He has to act very carefully before his profile is husked by extremists. towards aspiring to vie for URT presidency if he plans doing so.