Mbahili
Senior Member
- Nov 28, 2016
- 173
- 253
Hilo ni la gas wasenge nyie, Rais kaongelea bomba la Mafuta ghafiKatika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"
Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani unaweza ukawa sahihi kuhusu unalosema,je wewe uko sasa sahihi kwenye hizo herufi zako kama siyo kuchapia?narudia tena samahani kama nimekukwaza kwa hiloMagufuli ni mtu wa kuchapia chapia tu.
Mimi ndiyo maana nasema hata PhD yake nibya kuoewa tu.
Mtu mwenye PhD ya ukweli akipewa habari hii lazima aihoji, hata kwa kuchukua smartphine tu na ku Google.
Again. Magufuli ni mtu wa kuchapia chapia muda wote.
Sent from my Kimulimuli
Wewe ndo hukuelewa, alisema ni bomba refu zaidi linalopitisha cruel oil ambayo pia ni HEATED.Hapo usichanganye kuna cruel oil ambayo sio heated pia.Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"
Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi sio zama za KUBAHATISHA.Acha kupotosha, amesema ''INAWEZEKANA''. Punguza chuki.
Ndio
Alimaanisha refu kuliko yote katika second and third world nations!Ukizoea sana uongo uongo utajisikia kudanganya hata sehemu isiyohitaji uongo.
Uongo unakuwa hobby tu.
Ndicho anachofanya Magufuli.
Hilo bomba asingesema ndilo refu kuliko yote duniani angepungukiwa nini?
Sent from my Kimulimuli
Tuache unafiki kusingizia wasaidizi, uongo wa namba ni kipaji kwa mkulu koz hajaanza leoHawa wasaidizi wanatakiwa ama wapimwe mkojo au wawe wanafanya jitihada mathubuti kuhakikisha mtukufu Rais anapata taarifa sahihi maana hotuba hizi ni muhimu ktk kumbukumbu za sasa na vizazi vijavyo.