Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

Status
Not open for further replies.
Jamani kuna mtu nabishana nae hapa eti hilo bomba ni kusafirisha crude oil toka bandarini Tanga au toka Uganda kuja bandarini Tanga manake jamaa anasema Uganda inachimba mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Uganda inatarajia kuanza kuchimba mafuta yake huko Hoima na kuyasafirisha nje kupitia Bandari ya Tanga hapa nchini mwetu Tanzania
 
Alisema INAWEZEKANA KWA DUNIA ila kwa Africa hili ndio bomba refu zaidi.

Hans Pol
 
mleta mada mwenyewe kila.za ..kaingia mitini...anategemea gugo tu katika kila kitu kwenye maisha yake.
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Crude oil or gas?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wasaidizi wanatakiwa ama wapimwe mkojo au wawe wanafanya jitihada mathubuti kuhakikisha mtukufu Rais anapata taarifa sahihi maana hotuba hizi ni muhimu ktk kumbukumbu za sasa na vizazi vijavyo.
Kwanza alikuwa anazungumzia bomba la mafuta na pia alitumia neno nadhani
Na ni kweli kuwa bomba ili la mafuta ndilo ndilo litakuwa bomba refu duniani
Ndugu Tuwe na masikio mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom