Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

Status
Not open for further replies.
Huna skills za kusikiliza kwa makini mkuu. Rais alikuwa anaongelea bomba linalosafirisha HEATED CRUDE OIL kuwa hilo la India ndiyo lenye urefu mkubwa kwa sasa. Mtapindisha sana ukweli lakini watu wameshawajua nia yenu siyo nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kabla sijamkosoa m2 huwa nasoma ama kusikiliza mara mbili mbili watu wanazungumzia mafuta yeye kaleta mambo ya ges

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa alikuwa anamaanisha bomba la mafuta na sio products nyingine kama gas

Nawewe uwe unasoma vzr,ata la mafuta (crude oil)kaweka lina km 3687,sasa ukisema alikua anamaansha bomba la mafuta,sikuelewi,tukubali mkuu kateleza
Itakuwa alikuwa anamaanisha bomba la mafuta na sio products nyingine kama gas

Sent using Jamii Forums mobile app

Itakuwa alikuwa anamaanisha bomba la mafuta na sio products nyingine kama gas

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta yanayosafirishwa kutoka DSM mpaka Ndola Zambia yanapashwa moto ili yaweze kusukumwa (pumped) kwenye mabomba yakiwa baridi sana yanakuwa mazito kitu ambacho 'pumping' inakuwa ngumu
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ni mtu wa kuchapia chapia tu.

Mimi ndiyo maana nasema hata PhD yake nibya kuoewa tu.

Mtu mwenye PhD ya ukweli akipewa habari hii lazima aihoji, hata kwa kuchukua smartphine tu na ku Google.

Again. Magufuli ni mtu wa kuchapia chapia muda wote.

Sent from my Kimulimuli
 
Itakuwa alikuwa anamaanisha bomba la mafuta na sio products nyingine kama gas

Sent using Jamii Forums mobile app
"The world's longest crude oil pipeline is the Interprovincial Pipe Line Inc.installation, which spans the North American continent from Edmonton, Alberta, Canada through Chicago to Montreal: a distance of 3787.2km 2353 miles."

Sent from my Kimulimuli
 
Ukizoea sana uongo uongo utajisikia kudanganya hata sehemu isiyohitaji uongo.

Uongo unakuwa hobby tu.

Ndicho anachofanya Magufuli.

Hilo bomba asingesema ndilo refu kuliko yote duniani angepungukiwa nini?

Sent from my Kimulimuli
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

HAPANA MAGUFULI YUKO SAHIHI

anazungumzia 'CONTINUOUS HEATED PIPELINE' pipeline ya aina hii ndefu mpaka sasa ipo INDIA ina km 670 tu na inaitwa '
Mangala Development Pipeline (MDP), inatoka Barmer, Rajasthan, mpaka Jamnagar district of Gujarat, India. Aina hii ya bomba inakuwa na special heater zinazofungwa pembeni. Bomba mnazotaja hapo juu ni 'low crude oil pipeline'. Azungumzialo magufuli ni kama hili

upload_2017-8-5_13-20-12.png

Genson Myanbeni
Pipe and petroleum Engeneer
Songas Technical director!
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio hujaelewa ilo la urusi ni la gesi ili la uganda tanga ni la mafuta ghafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kuna mtu nabishana nae hapa eti hilo bomba ni kusafirisha crude oil toka bandarini Tanga au toka Uganda kuja bandarini Tanga manake jamaa anasema Uganda inachimba mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPANA MAGUFULI YUKO SAHIHI

anazungumzia 'CONTINUOUS HEATED PIPELINE' pipeline ya aina hii ndefu mpaka sasa ipo INDIA inaitwa '
Mangala Development Pipeline (MDP), inatoka Barmer, Rajasthan, mpaka Jamnagar district of Gujarat, India. Aina hii ya bomba inakuwa na special heater zinazofungwa pembeni. Bomba mnazotaja hapo juu ni 'low crude oil pipeline'. Azungumzialo magufuli ni kama hili

View attachment 558700

Genson Myanbeni
Pipe and petroleum Engeneer
Songas Technical director!
With that qualification it makes sense.

Lakini alitaja hiyo qualification?

There is a Reuters article on this.

Uganda, Tanzania sign deal for world's longest heated pipeline

Sent from my Kimulimuli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom