Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

Status
Not open for further replies.
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio hukusikiliza vizuri,alisema bomba refu duniani ambalo linasafirisha oil iliyochemshwa kwa tempereture fulani,hilo ulilotaja liko kama la tazama halipashi moto mafuta kuyafanya yatembee kwa wepesi zaidi

ploudly ngosha
 
Muwe mnasikiliza sio mnarukia rukia vitu ambavyo hamvijuii.
It is LONGEST HEATED PIPELINE.
"Bomba refu ambaloafuta yake yana chemshwa huku yana sukumwa"

Mataizo ya kutoroka shule ndio maana mnaandika pumba.
Mnabishana hapa bure kupeana ufafanuzi WA nyongeza. Nina hakika clips zipo zinazobainisha alichosema. Tafuteni hizo video muache kupoteza muda
 
Hawa wasaidizi wanatakiwa ama wapimwe mkojo au wawe wanafanya jitihada mathubuti kuhakikisha mtukufu Rais anapata taarifa sahihi maana hotuba hizi ni muhimu ktk kumbukumbu za sasa na vizazi vijavyo.
Mimi nafikiri hajakosea huwa mara nyingi inabidi tufahamu je hao anaowahutubia wana kiwango gani cha elimu asilimia 98 waliokuwa wanamsikiliza sidhani ka bomba la mafuta refu kuliko yote liko wapi
Hapo ametoa hutuba wrong meseg to a right people instead of a right meseg to a right people

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom