Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

Status
Not open for further replies.
Mkuu shule hua mnaenda kufanya nini, hata kusiliza ukaelewa huwezi, kwa faida yako na wengine, rais hakusema ni refu bali alisema huenda likawa bomba refu zaidi duniani la aina hiyo(heated crude oil pipeline) yaani bomba la mafuta ghafi linalosafirisha mafuta wakati huo huo yanachemshwa. Na akasema kwa record zake bomba la aina hiyo lenye urefu mkubwa ni 600km lipo India, kwa maana hiyo hili la Uganda - Tanzania huenda likawa ndio refu kuzidi yote. Kwa msaada zaidi fungua link hapo chini.

Uganda, Tanzania sign deal for world's longest heated pipeline - Reuters Africa
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggrMAA&usg=AFQjCNHF01lVRQY8DLYYgbMZFzELsut7EA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una majibu mazuri sana. Yani watu wanaudhi sana, sijui wanasikilizia habari maskani!!??
 
Acha kupotosha, amesema ''INAWEZEKANA''. Punguza chuki.

Kwanini aseme inawezekana katika ulimwengu huu wa Google kila kitu kiko viganjani mwetu? Rais ana wasaidizi kibao kashindwa nini kuwatumia hao kuthibitisha jambo hili kabla ya kulisema hadharani na kutudharirisha kiasi hicho?
 
Magu kila kitu cha Tanzania huwa ni kizuri kupita vyote duniani! Saa ingine anatumia sana uzalendo kuliko facts! Ndiyo maana huwa anasema Tanzania inaweza kuwa DONOR kwa rasilimali ilizonazo. Lakini the facts is they can't. Sijui work out vipi data zake.
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnasikiliza sio mnarukia rukia vitu ambavyo hamvijuii.
It is LONGEST HEATED PIPELINE.
"Bomba refu ambaloafuta yake yana chemshwa huku yana sukumwa"

Mataizo ya kutoroka shule ndio maana mnaandika pumba.
 
Magu kila kitu cha Tanzania huwa ni kizuri kupita vyote duniani! Saa ingine anatumia sana uzalendo kuliko facts! Ndiyo maana huwa anasema Tanzania inaweza kuwa DONOR kwa rasilimali ilizonazo. Lakini the facts is they can't. Sijui work out vipi data zake.
Muwe mnasikiliza sio mnarukia rukia vitu ambavyo hamvijuii.
It is LONGEST HEATED PIPELINE.
"Bomba refu ambaloafuta yake yana chemshwa huku yana sukumwa"

Mataizo ya kutoroka shule ndio maana mnaandika pumba.
 
Huwezi sema inawezekana kichuguu kinalingana na mlima, kisa tuu umetumia neno INAWEZEKANA ndo upunguze ukubwa wa kituko. Hapana, alikuwa anatania

Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnasikiliza sio mnarukia rukia vitu ambavyo hamvijuii.
It is LONGEST HEATED PIPELINE.
"Bomba refu ambaloafuta yake yana chemshwa huku yana sukumwa"

Mataizo ya kutoroka shule ndio maana mnaandika pumba.
 
Hata hivyo mpaka sasa bomba refu zaidi lakusafirisha crude oil liko America ya kaskazin lenye urefu wa kilometa 3787.2 (source petroglobalnews.com). Labda litakuwa refu kwa Bara la Africa na sii vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnasikiliza sio mnarukia rukia vitu ambavyo hamvijuii.
It is LONGEST HEATED PIPELINE.
"Bomba refu ambaloafuta yake yana chemshwa huku yana sukumwa"

Mataizo ya kutoroka shule ndio maana mnaandika pumba.
 
Vijana wa Lumumba watakuja hapa kumtetea kwamba alikuwa sahihi!!!!

Back
Top Bottom