Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

Status
Not open for further replies.
Kumbe mafuta ghafi mi nilidhani processed sasa sisi tumepiga bao.ajira.kodi wao wakawape wengine wa-process
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni la gas wasenge nyie, Rais kaongelea bomba la Mafuta ghafi
 
jaman punguzen chuki sina chama ila mtu anaposemwa kwa kosa ambalo hajafanya huwa natetea so punguzen chuki
 
Wasaidizi watafanyann wakati unajitu ambalo kila mnapo shauli mnaitwa sio wazalendo
 
Magufuli ni mtu wa kuchapia chapia tu.

Mimi ndiyo maana nasema hata PhD yake nibya kuoewa tu.

Mtu mwenye PhD ya ukweli akipewa habari hii lazima aihoji, hata kwa kuchukua smartphine tu na ku Google.

Again. Magufuli ni mtu wa kuchapia chapia muda wote.

Sent from my Kimulimuli
Mkuu samahani unaweza ukawa sahihi kuhusu unalosema,je wewe uko sasa sahihi kwenye hizo herufi zako kama siyo kuchapia?narudia tena samahani kama nimekukwaza kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Raisi hajui kuwa Bomba la Mafuta Kutoka Dar es salaam - Zambia lina Urefu wa zaidi ya 1,000 Km?
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo hukuelewa, alisema ni bomba refu zaidi linalopitisha cruel oil ambayo pia ni HEATED.Hapo usichanganye kuna cruel oil ambayo sio heated pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha, amesema ''INAWEZEKANA''. Punguza chuki.
Hizi sio zama za KUBAHATISHA.
Kila kitu kinapatikana kwa urahisi kupitia mitandao.
INAWEZEKANA maana yake hana uhakika,wakat ana uwezo wa kupata info

May Allah bless Me and You
 
Acheni machafuko nchi ikichafuka mtakosa hata pakukimbilia nyie mnaona LIBYA WALIMUUA SADAMU HUSENI MPAKA LEO HAKUNA AMANI """ Mkuu anasema kweli habatishi### hatubahatishi # CC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukizoea sana uongo uongo utajisikia kudanganya hata sehemu isiyohitaji uongo.

Uongo unakuwa hobby tu.

Ndicho anachofanya Magufuli.

Hilo bomba asingesema ndilo refu kuliko yote duniani angepungukiwa nini?

Sent from my Kimulimuli
Alimaanisha refu kuliko yote katika second and third world nations!
 
Hawa wasaidizi wanatakiwa ama wapimwe mkojo au wawe wanafanya jitihada mathubuti kuhakikisha mtukufu Rais anapata taarifa sahihi maana hotuba hizi ni muhimu ktk kumbukumbu za sasa na vizazi vijavyo.
Tuache unafiki kusingizia wasaidizi, uongo wa namba ni kipaji kwa mkulu koz hajaanza leo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom