Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 407
Atuhitaji kelele,na vibweka hata Kikwete aliingia na vibweka na kelele kibao .tunahitaji mtu wa kufanya kazi katika maadili na kazi ikaonekana,,hivi mnajua ugumu wa kuhama Ikulu ya magogoni au mmeanza CCM vibweka??.Historia tuu kwanza itakuwa kichekesho,umesikia Raisi gani anahama Ikulu aliyoikuta tokea enzi ya taifa hilo au hili limezaliwa.fikirieni na yeye afikirie huyo Magufuli.Mwezi aujaisha bado Raisi ajui kipaumbele chake mnaanza kuwaandaa watu kisaikolojia..Tunahitaji mabadiliko bwana.sisi porojo tuu.
Kijiographia Dodoma haipo katikati ya nchi, labda ungwsema kanda ya kati. Katikati ya nchi ni Singida maeneo ya Manyoni kuanzia Mitundu huko.
Mzee ''nyumbu''! Magufuli akihamia Dodoma itakusaidia nini wewe na watanzania wengine?Ndio Maana ulijenga Nyumba za Wabunge Na Mawaziri Dodoma ingawa walikataa kuhamia, sasa umeanza wewe tuone nani atakubishia.
Wizara nyingi zitahamia Dodoma soon
Dodoma haikuichaguliwa kwa sababu ya cold war. Dodoma ni katikati ya Tanzania. Ni rahisi kwa mtu kusafiri kutoka Kigoma, Iringa, Mwanza kwenda Dodoma kuliko Dar-es-Salaam. Wanigeria walipoamua kujenga Abuja walikuja kuangalia plan za Dodoma na wenzetu kwa sababu ni serious wakajenga na wakahamia. Sijui ni kitu gani kilichochelewesha kuhamishia serikali Dodoma hasa baada ya Mwalimu Nyerere kustaafu. Serikali ikihamishia shughulli zake Dodoma na kuacha Dar-es- Salaam kuwa mji wa biashara itasaidia sana msongamano wa magari saa za kwenda kazini. Haihusiani hata kidogo na cold war.Sawa lakini hata waliokaa ikulu ya magogoni walikuwa na sababu. Wale walioamua makao makuu kuhamia Ddm ingeku ni sasa wasingeamua hivo. It was an outcome of cold war and ubeberu. Iliaminika ddm ni salama. Lkn sasa kukua kwa tkngia si sabb tena
...maana nyie na misafara yenu inachangia foleni
Sasa hii sifa
Nimepewa tetesi kuwa Rais Magufuli kakataa kuishi Dar na ameagiza kuhamishiwa Dodoma yalipo makao makuu ya nchi.
Mlio jikoni tupeni uhalisia wa hili.
Hueleweki mtanzania mkenya maana umekaa neutral, ukisikia mazuri ya Kenya unakuwa mkenya, ukiona zuri la huku unakuwa Mtz, hebu simama sehemu moja maana sisi Dual citizen
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Si ungemalizia kuwa kama aliokuwa anaufanya JK!
Oyaaah! Kitu kimoja ujue Tz hatuna dual citizenship, nakushauri TUACHIE nchi yetu, naona unadandia dandia tu, kuna comment moja ktk uzi wa mtu humu ile ya Serengeti kutangazwa online huko china UMEJINADI kama Mkenya, sasa nakushangaa unavyojipendekeza ktk mambo ya Tz. BOUNCE! Tuache tujadili ya kwetu. Kina jikwaa la wakenya, nenda huko!
Suala la kuhamia Dodoma lisimpotezee muda, halina umuhimu wowote, asilipe kipaumbele sana, ni la kisiasa tu ndiyo maana hata waanzilishi wake limewashinda kwa kipindi chote kile. Kama lingekuwa na manufaa nini kilizuia kuhamia ? JPM ana kazi kubwa sana inayomkabili kuliko hiyo theory ya kuhamia Dodoma. Kwani TZ inakosa nini kwa kutohamia Dodoma?
mi lazima niwarekebishe pindi mnapovurundaNaona Povu linakutoka, hivi unajua serikali inapata hasara kiasi gani ktk Kwa kubaki Dar?
Kama huwezi kukop na Dr Magufuli rudi Kenya. Kwanza ilisema inarudi Kenya baada bosi wako kupigwa chini