Rais asiwe anawatambulisha wasaidizi wake madereva na walinzi mbele ya wananchi mikutano ya hadhara

Nimemwona Rais akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlinzi mbele za wananchi. Si sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia.

Si sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.

Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi.

Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile bba yake kwa mfanyabiashara biashara.

Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi.Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi.Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .

Yule Kanali sio Mlinzi, ni Msaidizi wake, anaitwa Aide-de-camp kwa Kifaransa ama Field Assistant kwa Kiingereza na ile ndio kazi yake,ni ushamba tuliorithi kutoka kwa wakoloni Mebeberu ambao wao washauacha kitambo.
Walinzi wa Raisi ni wale Makirikiri wanaovaa Uniform kama za us navy, na wengine wanavaa Ki Raia, wale wavaa Kaunda suti.
 
Nimemwona Rais akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlinzi mbele za wananchi. Si sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia.

Si sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.

Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi.

Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile bba yake kwa mfanyabiashara biashara.

Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi.Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi.Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Kinana anamuita mshamba, nape anasema kachanganyikiwa
 
Wewe Kada hata mambo ya kiitifaki hayajui au ndio Zero Brain mwenyewe wewe
 
Kuna wakati unaweza ukajiona unajuaaa kumbe hamna kitu. Kabla hujakurupuka jaribu kujiridhisha na unachotaka kufanya. Kwa taarifa yako tu Huyo mjeshi unayemsema wewe sio mlinzi wa Rais. Ni mpambe wa rais. Sasa kagugo kazi za mpambe wa rais ndo uje uombe radhi hapa.
 
Madhara ya Kuwapa Madaraka Makubwa "Washamba" na "Malimbukeni" ndio haya Yeye Mwenyewe huona fahari kubwa.
 
Nimemwona Rais akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlinzi mbele za wananchi. Si sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia.

Si sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.

Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi.

Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile namva yake kwa mfanyabiashara

Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi.Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi.Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Kwahiyo unampinga rais? acha kumpangia Rais wetu
 
Huyo waga sio mlinzi dada angu huyo anaitwa AID de camp hapo anakuwaga Hana ata kiwembe yeye kwajiri ya kumsaidia rais kwenda chooni, Kula,kunywa maji, nk
Khaaaaaa anamsaidia Hadi kuvua suruali na liboxer lake wakati wa kupupuuuu???
 
Walinzi wako wengi alipopeleka jina bungeni walikuwepo wengine .Wasaidizi wa Raisi wako wengi aweza mtuma yeyote Kama Kuna umbali Sio kumtoa huyo wa mgongoni .Mbona wako kibao tu na wanafahamiana akitaka kitu kwenye mkutano aweza chomoka yeyote akaenda. Akamkabidhi bosi wake bosi wake akamkabidhi msaidizi wake huyo wa mgongoni bila ya Huyo kutoka

Huyo wa mgongoni ndiye msaidizi wake sasa, ni mwambata wa kijeshi, walinzi wapo kibao pembeni
 
....
Ishara ya kumtambua ni vazi ( uniform)
...
Umewahi kuona Rais mstaafu, PM au makamu wa Rais nyuma yake kuna Uniformed Officer?
... Ma-RPC wana uniformed bodyguards. Nao tusemeje?
 
Nimemwona Rais akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlinzi mbele za wananchi. Si sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia.

Si sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.

Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi.

Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile namva yake kwa mfanyabiashara

Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi.Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi.Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Wewe ndani ya ccm ni sawa na kikaragosi tu hivyo huna mamlaka yeyote ya kumkosoa mwenyekiti wako
 
Huna lolote wewe zaidi ya kupiga makofi na vigeregere tu hapo lumumba

Back
Top Bottom