Rais asiwe anawatambulisha wasaidizi wake madereva na walinzi mbele ya wananchi mikutano ya hadhara

Nimemwona Rais akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlinzi mbele za wananchi. Si sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia.

Si sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.

Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi.

Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile namva yake kwa mfanyabiashara

Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi.Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi.Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Mapambio ya praise team yameisha sasa mnaanza kumsimanga
 
Rais tofauti yake na mfalme ni jina tu na mihula basi sasa wakamwambie hao wakuu ambao nao wananyenyekea kwa rais
 
Kiuhalisia watu wakiamua kumtungua anayemlinda sioni kama huyo anayekaa pembeni/mgongoni anaweza kuwazuia labda wawe wanamu-attack physically.

Snipers can do anything pamoja na uwepo wa hao jamaa.

Hao wanazuia wanywa viroba tu wasimvagae.
Kuna kinaitwa Perimeter defence kabla ya Rais hajafika maeneo wanakuwa wameshaandaa plan ya Ulinzi na maeneo kama hayo anayoweza kukaa sniper yanadhibitiwa.

Ninge upload picha moja mlinzi wa JPM hawa wanaovaa makhirikhiri anatumia Binocular kuangalia maeneo ya pembeni na nyumba za mbali wakati JPM amesimama juu ya gari

Kwa case ya mtu ataetoa bastola kwenye umati muda ataoutumia kutoa bastola na mpaka anafanikiwa kulenga shabaha tayari ameshadhibitiwa

Niishie hapa
 
Nimemwona Rais akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlinzi mbele za wananchi. Si sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia.

Si sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.

Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi.

Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile namva yake kwa mfanyabiashara

Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi.Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi.Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Ujuaji wa kijinga ndiyo unakupumbaza na kudhani ulinzi wa Rais mahali popote anapokuwa ni hao unaowaona wewe wakiwa nyuma yake..
 
Nimemwona Rais akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlinzi mbele za wananchi. Si sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia.

Si sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.

Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi.

Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile namva yake kwa mfanyabiashara

Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi.Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi.Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Ndugu Yehodaya unataka tuongee uturekodi?
 
aisee kuna mambo kama huyajui bora usiongee aisee nani aliekwambia yule kanali pale nyuma ni bodyguard wake. ...yule anaitwa aide de camp(ADC) kwa lugha ya kiswahili nimpamb wa raisi hana majukumu kama mlinzi bali nimpambe tu wakumsaidia kazi rais ndogo na kuonesha kuwa raisi ndie amiri jeshi Mkuu ndo maana ni lazma ADC awe na cheo cha kanali...huoni mvua ikinyesha yy ndie hupewa kushika mwamvuli au kushika briefcase na makabrasha ya mzee..... walinzi wa rais ni wale wa vaa suti watu wa TISS kitengo cha presidential security unit wanao mlinda kwene inner perimeter na wale askari wenye mabunduki humlinda kwene outer perimeter......fanya uchunguzi wa mambo kama haya kbla ujashusha uzi
Mbona security circle ni finyu/ndogo Sana kama ndio hivyo tu? Yani Kaunda Suti hadi combat zile ah...uwanja mdogo Sana huo..kuliko hata wachezaji..achilia mbali mashabiki.
 
Nimemwona Rais akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlinzi mbele za wananchi. Si sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia.

Si sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.

Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi.

Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile namva yake kwa mfanyabiashara

Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi.Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi.Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Huyo mlinzi ndio yule mwenye uniform za jeshi? Kama ndiyo yule siyo mlinzi wa raisi ni mpambe wa raisi na hizo za kutumwa na raisi ndizo moja ya kazi zake.
 
mbona kina Trump hawanagamlinzi wa mgongoni?,maana yake ni kua huyo mlinzi ni kwa ajili ya taratibu tu,walinzi wanakuwepo wengi kona zote
 
Walinzi wako wengi alipopeleka jina bungeni walikuwepo wengine .Wasaidizi wa Raisi wako wengi aweza mtuma yeyote Kama Kuna umbali Sio kumtoa huyo wa mgongoni .Mbona wako kibao tu na wanafahamiana akitaka kitu kwenye mkutano aweza chomoka yeyote akaenda. Akamkabidhi bosi wake bosi wake akamkabidhi msaidizi wake huyo wa mgongoni bila ya Huyo kutoka
Yule sio mlinzi Bali msaidizi nadhan kunatofaut walinz wake wana earphone vyeupe manake usalama wa rais wao ndo wanasimamia
 
Back
Top Bottom