Rais asiwe anawatambulisha wasaidizi wake madereva na walinzi mbele ya wananchi mikutano ya hadhara

Yule sio mlinzi, ni mpambe... Mbona akiwa anapokea zawadi za Rais hujasemea hilo kuwa atapoteza umakini? Kazi yake ni kumsaidia Rais mamno madogo madogo kama kupokea vitu
wanachoshindwa kuelewa ni kuwa Rais ni amir jeshi mkuu, na yule ni mpambe wake wa kijeshi kwakuwa yy ni amir jeshi mkuu,, kama ilivyo Kwa mkuu wa majeshi nae ana mpambe wake kutoka hukohuko jeshini kwao kama ilivyo kwa amir jeshi wao,

kazi zao kubeba mkoba wa wakuu wao, na nyaraka zingine, kama leo nimeona mpambe wa amiri jeshi aliibeba million tano ambazo rais amezitoa mchango jimboni Kwa ndugai
 
Ni !Nani house boy au messenger?

Kwa maneno yako hayo unaelekea kuwa 'mfungwa mtarajiwa'.....jifunze kutumia lugha ya staa...Kama ni yule Afisa wa jeshi nyuma ya Rais yule ni ADC...jitahidi upate kirefu chake yaani cha ADC kwani siyo kila kitu utafuniwe tu...
 
mkuu wao siwanapaswa kuwa flexible.
Ila ukiangalia wenzetu huko ulaya wao ndio wanamuongoza anayelindwa na wako strict kupota maelezo..
 
Nimemwona Raisi akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlimzi mbele za wananchi SI sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia SI sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi .Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile bba yake kwa mfanyabiashara biashara.Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi .Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi .Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Ngoja ifike jioni tusikie kuwa yamenaswa mazungumzo kati ya YEHODAYA na Wakudadavuwa wakimsemanga Mwenyekiti wao wachama kumzuia asitimize dereva na mlinzi wake mbele za wananchi kama katiba yao inavyo taka.
Maana hilo chama sasa ni kama kila mtu anapiga kile cha Arachunga!
 
Walinzi wako wengi alipopeleka jina bungeni walikuwepo wengine .Wasaidizi wa Raisi wako wengi aweza mtuma yeyote Kama Kuna umbali Sio kumtoa huyo wa mgongoni .Mbona wako kibao tu na wanafahamiana akitaka kitu kwenye mkutano aweza chomoka yeyote akaenda. Akamkabidhi bosi wake bosi wake akamkabidhi msaidizi wake huyo wa mgongoni bila ya Huyo kutoka
Huyo waga sio mlinzi dada angu huyo anaitwa AID de camp hapo anakuwaga Hana ata kiwembe yeye kwajiri ya kumsaidia rais kwenda chooni, Kula,kunywa maji, nk
 
Msgufuli bado hajajitambua kuwa yeye si mali yake mwenyewe...yeye ni sawa na nyara za serikali zinavyolindwa kisheria
Nimemwona Raisi akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlimzi mbele za wananchi SI sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia SI sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi .Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile bba yake kwa mfanyabiashara biashara.Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi .Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi .Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
 
ukiwa mtu mzima... inabidi ujue kutofautisha kati ya mpambe wa raisi na mlinzi wa raisi

huyo mpambe wa raisi hata katika list ya PSU hayupo sasa utamuitaje mlinzi
 
Nimemwona Raisi akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlimzi mbele za wananchi SI sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia SI sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi .Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile bba yake kwa mfanyabiashara biashara.Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi .Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi .Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Hivi mlinzi wa rais unamjua ngugu?
Uliza kama hujui
Rais ana walinzi hata wasioonekana kirahisi
 
Nimemwona Raisi akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlimzi mbele za wananchi SI sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia SI sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi .Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile bba yake kwa mfanyabiashara biashara.Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi .Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi .Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Zigo lenu hili sasa sisi tulisaidieje? Tumeelimisha tumechoka sasa labda tumng'oe kwanza hapo mwakani halafu tutupe jela Mfungwa Mtarajiwa
 
Nimemwona Raisi akiwa Kongwa akitambulisha dereva na mlimzi mbele za wananchi SI sahihi na pia kumwita mlinzi wake kuacha lindo mgongoni na kwenda kuchangia SI sahihi huyo mlinzi kuacha guard post nyuma yake kwenda kufanya majukumu mengine.Hata pale ikulu Raisi alipokutana na wafanyabiashara alimtoa mgongoni yule mlinzi wake iakamwambia akachukue namba ya mfanyabiashara yule wa mbeya na akamwamuru yule mlinzi ampe namba Yake mlinzi .Mlinzi niliona anasita Lakini afanyaje akaitoa ile bba yake kwa mfanyabiashara biashara.Anachofanya Raisi kwenye Hilo nadhani Sio sahihi .Hawa watu wanawekwa mazingira magumu ya kazi .Mabosi wao nwelezeni mheshimiwa .
Yule anayekaa nyuma ya rais ,nimsaidizi wake sio mlinzi(japokua likitokea lakutokea atajishughulisha nae kwenye uokozi.walinzi wa rais niwale jamaa wapembeni.ndowenye shughuli yao,huyu wanyuma elewa nimsaidizi wake..mpiga hadi pasi nguo,kutandika kitanda na mengineyo(mpangilio wamavazi).usijisahau ukadhani mkewake janeth ndo anamtandikia kitanda
 
Hahaha hata ccm hamuelewi kwamba yule siyo mlinzi wa rais?! Chama kimekuwa madarakani hadi jua linazama bado hamjui nani ni nani?!
 
Back
Top Bottom