Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 81,084
- 93,894
Unaelewa nini wewe mzee?Au tumuweke Mwamba!
UtaliiUnaelewa nini wewe mzee?
Katoro kuna mbuga?Utalii
Ya pili kwa ukubwa manka!Katoro kuna mbuga?
Cheki ulivyo mpuuzi na wakati hata barabara ni shidaYa pili kwa ukubwa manka!
1. Ni bora wazawa wangetumika kuchukua filamu hiyo na kandarasi ya kimkataba kuwekwa kwa ajili ya kutangaza duniani kuliko kukodi wazungu ambapo hati miliki bila shaka itakuwa kwao halafu maka ya mbeleni wajukuu wataidai irejeshweRais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.
Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.
Huu ni wizi wa mchana kweupe
Tungeambiwa bei gani kurekodi hiyo filamu na kama procurement ya hiyo kampuni ilifanyikaje. Pia tuambiwe kama tunatarajia kuvuna kiasi gani. Hiyo biashara huenda ikaishia patupu huku wenye kushauru venture kama hizo wakijipatia mamilioni. Nina shaka na katibu mkuu kiongozi wa sasa. Hapendi show ila huenda ni mpigaji.Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.
Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.
Huu ni wizi wa mchana kweupe
Karibu ujionee......huku ni tofauti na Rombo walikojaa walevi wa chang'aa!Cheki ulivyo mpuuzi na wakati hata barabara ni shida
Kazi gani? Ya kuzurura? Tozo ni wizi mwingine wa Serikali kwa watu wakeHata tozo mlibeza...baada ya kusikia fedha zimepelekwa kujenga vituo vya afya,mkaombwa muandikwe kwenye vibao.
Mwacheni Mama Samia afanye kazi zake.
Na wewe mbona hujaonesha faida badala yake una bwabwaja kama uharo?Mbona hujaonyesha ushahidi wa kutokuwa na faida kwa Royal tour badala yake unabwabwaja kama uji unatokota?
Mkuu umesema..Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.
Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.
Huu ni wizi wa mchana kweupe
mmekataa kulipa toto hapa halafu mnasema kuna pesa yenu- pesa yenu ipi? acheni dharauRais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.
Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.
Huu ni wizi wa mchana kweupe
Faida baada ya tangazo kukamilika,kama unarekodi movie utajua utapata kiasi gani? Baada ya matokeo ndio kuna majibu acha umbumbumbuNa wewe mbona hujaonesha faida badala yake una bwabwaja kama uharo?
πππurais wa kuokota
tusipofanyanwatasema tukifanya wanasema bora tufanye ili wakiuliza tuwaonyeshe tulichofanyaRais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.