JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,106
- 3,523
Hajui alinenalo. kuna watu wengi tu hasa watoto wameambukizwa na wazazi wao hawakujitakia. wapo akina mama wengi tu wameambukizwa na waume zao wakati wenyewe ni waaminifu kwenye ndoa zao.wapo waliojitakia kweli lakini katika hafla kama ile kauli kama hiyo inawasononesha wengi badala ya kuwatia nguvu.JKAnasema sasa hivi kuwa'' UKIMWI NI UGONJWA WA KUJITAKIA"......LIVE TBC Je anafikiri wote wanaoumwa ukimwi wamejitakia?