Nsabhi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2011
- 1,093
- 162
Kusema Ukimwi ni ugonjwabn wa kujitakia ni kuwakatisha tamaa Watanzania ambao wamezaliwa na ugonjwa huo. Maneno hayon yanapaswa kuongelewa kijiweni na wala si kwa kiongozi wa nchi.
Hata kama kataja njia zote, tunachozungumzia hapa ni kauli ya UKIMWI NI UGONJWA WA KUJITAKIA ni kauli stahili kutolewa na kiongozi wa nchi?