Rais anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?

Bora kuwa kama Dr Slaa unaenda msibani mpaka afe kiongozi wa Chadema Taifa.
 
- kWENYE HILI HAMNA HOJA SHERIA INAYOMRUHUSU RAIS KUPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI LOCAL KAMA MWANANCHI NA KUAMUAA ANAMTAKA NANI KAMA BINADAM, NI HIYO HIYO INAYOMRUHUSU KUCHAGUA MISIBA.

LE MUTUZ

Aliye andika haya ni mbunge?
 
05/01/2013

  1. Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
  2. ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale Muhimbili, sikusikia Rais kahudhuria.
  3. Mwaka 2009 alifariki Prof. Aziz, daktari bingwa wa upasuaji pale Muhimbili na aliyetibu watu wengi sana kupona mikononi mwake, aliugua na Serikali ilimwambia hawawezi kumpeleka kwa matibabu, akakopa pesa Agha Khan Hospital akaenda kutibiwa Ujerumani, alipogundulika na saratani ambayo alikaa nayo na kuja kufariki miaka kumi baadae akiwahudumia Watanzania Muhimbili, kufundisha Madakari wa upasuaji, alifariki na kuzikwa hatukuona wala salamu toka kwa Rais!
  4. 4.Tuna wiki tatu sasa amefariki Dkt. Bashiri aliyekuwa daktari mzuri sanakwa vipimo vya ultrasound, amehudumia Watanzania wengi, sijasikia Rais anahudhuria.

Hivi...

  • Huwa anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?
  • Hao washauri wake wanatoka katika kundi lipi la jamii?

Sou
Hee hee hee Unajua Tanzania inahitaji special delivarance.... ''A nation reveals itself not only by the men it produces but also by the men it honors, the men it remembers'' John F. Kennedy, Speech in praise of Robert Frost, 1963
35th president of US 1961-1963 (1917 - 1963)
 
Muacheni rais wetu alaaaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wataalam wote waliotutangulia pale Muhimbili M/Mungu akawaweke mahali pema peponi , Amina , Hakuna miongoni mwa viongozi hawa waliopo atakayewajali , maana wakiugua hata mafua tu huwa wanaenda Kwingineko .
 
Kwa Tanzania usanii si taaluma bali kimbilio la watu wenye njaa wakitafuta ima riziki au kujulikana. Simpo. Rais Kikwete anaitwa msanii kwa sababu aliteuliwa na kuchaguliwa urais bila kuwa na sifa zozote za maana. Pia alitumia hongo kuupata urais baada ya kuiibia Benki kuu kwenye skandali ya EPA ambayo huwa hataki kuiongelea ukiachia mbali kutowahi kutoa hata kauli ya kukanusha au kukiri.
Naomba nielimishwe, kwani Usanii siyo taaluma. Hivi taaluma ni nini?
 
WJ Malecela umefufuka siyo? Naona mabaki ya CCM yameanza kukubali. Mwanangu kipindi hiki nakushauri utulie na usijisahau kama ulivyofanya New York. Pia usifanye uzembe tena kuchukuliwa jiko au siyo? Jitahidi uwe unakwenda Monduli huenda ukaongezea mshiko toka kwa fisadi fulani kama Sheukindo yule mama kizabu wa CCMM.
- Kwani Sheria ya Jamhuri inasema nini kuhusu Rais na kuamua misiba ya kwenda maana sometimes hebu tuwe Great Thinkers kidogo tu tuongee na Facts, eti Sheria ya Jamhuri inasema nini on the subject?

le mutuz
 
Babu slaa alienda kuwazika hao madaktari unaowasema wewe
 
Kwa Tanzania usanii si taaluma bali kimbilio la watu wenye njaa wakitafuta ima riziki au kujulikana. Simpo. Rais Kikwete anaitwa msanii kwa sababu aliteuliwa na kuchaguliwa urais bila kuwa na sifa zozote za maana. Pia alitumia hongo kuupata urais baada ya kuiibia Benki kuu kwenye skandali ya EPA ambayo huwa hataki kuiongelea ukiachia mbali kutowahi kutoa hata kauli ya kukanusha au kukiri.

Mkuu,
Samahani, naona kama jibu lako limekaa katika madhari ya kutaka kuhalalisha hoja yako wakati huo huo ukirusha vijembe vya dharau kwa wale wanaoendesha maisha halali kwa njia ya taaluma hiyo.

Haijalishi kama Rais Kikwete anaitwa 'msanii', lakini haiwezekani binadamu akawa na taaluma ya usanii bila kuwa na sifa za kisanii.

Nimekuelewa.
 
05/01/2013

  1. Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
  2. ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale Muhimbili, sikusikia Rais kahudhuria.
  3. Mwaka 2009 alifariki Prof. Aziz, daktari bingwa wa upasuaji pale Muhimbili na aliyetibu watu wengi sana kupona mikononi mwake, aliugua na Serikali ilimwambia hawawezi kumpeleka kwa matibabu, akakopa pesa Agha Khan Hospital akaenda kutibiwa Ujerumani, alipogundulika na saratani ambayo alikaa nayo na kuja kufariki miaka kumi baadae akiwahudumia Watanzania Muhimbili, kufundisha Madakari wa upasuaji, alifariki na kuzikwa hatukuona wala salamu toka kwa Rais!
  4. 4.Tuna wiki tatu sasa amefariki Dkt. Bashiri aliyekuwa daktari mzuri sanakwa vipimo vya ultrasound, amehudumia Watanzania wengi, sijasikia Rais anahudhuria.

Hivi...

  • Huwa anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?
  • Hao washauri wake wanatoka katika kundi lipi la jamii?
Sou

Mwanangu nngu007 unapaswa kuelewa somo. Hao wote uliowataja hawakuwa wasanii bali wanataalum. ...

Mambo haya Vijana wa Bukoba waishio Dar walikwisha yaona mapema May 2012 na kuyatolea Tamko. Huu ni Upendo wenye Upendeleo wa hali ya juu. Ambao ni vigumu sana kuutofautisha na ubaguzi.

Wakuu nimeinasa sehemu nikaona niiweke hapa jamvini
TAMKO LA VIJANA WA BUKOBA MJINI WAISHIO DAR ES SALAAM

​
".....Inakuwa vigumu kuamini kuwa pamoja na ugumu wa ratiba, Rais alikosa muwakilishi makini wa hadhi inayobeba uzito sawia na mchango wa Dr. Kyaruzi katika Taifa hili. Tukio hili linaleta hisia za ubaguzi wa Taasisi za dola na chama katika kutoa uzito kwenye majanga, matatizo na misiba ya watu wa Taifa hili.

Ni majuzi tu Taifa lilipotelewa na Mcheza Sinema nguli ambaye hapo awali hakuwahi kupata heshima yoyote ya Kitaifa. Lakini tuliona jinsi viongozi wa Serikali na Chama walivyohamia msibani na Serikali kujipa jukumu la kuubeba msiba na shughuli za mazishi. .......
Lakini pia ni kawaida kusoma taarifa za Rais anazoandika katika mitandao ya kijamii (MyKj) kila anapoelekea kwenye misiba ya watu wa kawaida walioko katika maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Hili linatuongezea huzuni na kutuongoza kuamini kuwa misiba ya watu wa maeneo nje na Dar es Salaam haigusi hisia za Rais hata kama ni ya Watu waliotoa mchango mkubwa kwa Taifa hili.

Haya yaliyotokea kwa Dr. Kyaruzi alimanusura yatokee pia kwenye msiba wa MKUU wa Majeshi Mstaafu Jenerali Ernest Mwita Kyaro. Marehemu Mwita alifariki siku chache baada ya mazishi ya Kanumba na msiba wake ulikosa sura ya Kitaifa. ...

Kwa Tamko hili tunamtaka ......Na mwisho
tunamtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, yeye kama Taasisi awe Rais wa Watanzania wote; wa Dar es Salaam na Mikoani.

Tanzania ni Moja
Vijana wa Bukoba Mjini Waishio Dar es Salaam
​
​
 
Mambo haya Vijana wa Bukoba waishio Dar walikwisha yaona mapema May 2012 na kuyatolea Tamko. Huu ni Upendo wenye Upendeleo wa hali ya juu. Ambao ni vigumu sana kuutofautisha na ubaguzi.

[/CENTER]

ERIC, Ina MAANA RAIS wetu sio MTAALAMU ni MSANII??? Kwanini anabeba Ph.D kila CHUO KIKUU anachokitembelea?
Unajua ana Ph.D 3; Au huo WOTE ni USANII??? Najua anajua kupose NDANI ya NDEGE ya RAIS...
 
Mkuu nngu007,
Ninachojua kuhusu elimu ya Mh. Rais ni kwamba ana Shahada ya Uchumi wa Siasa na kivitendo ni mtu mwenye Upendo wenye Upendeleo! Hili la pili liko wazi katika Teuzi zake mbalimbali na misaada yake kwa wahitaji. Sifahamu lolote juu yake kuhusu kutunukiwa/kusomea PhD. Naomba kama wewe wajua nifahamishe!
 
Ana Ph.D ya CHUO KISHIRIKISHI cha MUHIMBILI
Ana Ph.D ya CHUO KIKUU cha DAR
 
Msiba wa msanii mwenzake lazima ahudhirie..nadhani leo atakuwa kwenye arobaini ya msanii mwenzake sharo milionea
 
05/01/2013

  1. Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
  2. ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale Muhimbili, sikusikia Rais kahudhuria.
  3. Mwaka 2009 alifariki Prof. Aziz, daktari bingwa wa upasuaji pale Muhimbili na aliyetibu watu wengi sana kupona mikononi mwake, aliugua na Serikali ilimwambia hawawezi kumpeleka kwa matibabu, akakopa pesa Agha Khan Hospital akaenda kutibiwa Ujerumani, alipogundulika na saratani ambayo alikaa nayo na kuja kufariki miaka kumi baadae akiwahudumia Watanzania Muhimbili, kufundisha Madakari wa upasuaji, alifariki na kuzikwa hatukuona wala salamu toka kwa Rais!
  4. 4.Tuna wiki tatu sasa amefariki Dkt. Bashiri aliyekuwa daktari mzuri sanakwa vipimo vya ultrasound, amehudumia Watanzania wengi, sijasikia Rais anahudhuria.

Hivi...

  • Huwa anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?
  • Hao washauri wake wanatoka katika kundi lipi la jamii?

Sou
kwa hiyo angehudhuria misiba hiyo na kuacha ya wasanii isingekuwa nongwa. kama ni kuhudhuria misiba tu mpeni haki yake asipohudhuria basi tu anakuwa kwenye majukumu mengine japo na sisi watu wa DAR hatuishiwi maneno.
 
Kuudhuria si lazima aende yy anaweza kumpereka mwakilishi na sio lazima misiba yote ahudhurie naye ana majukumu kama wengine,,!!!
 
Mwanzisha mada naona hujafukiria vizuri! Kila siku wanakufa watu wengi sana kwahiyo rais unataka ahudhurie misiba yote ataweza? Inategemea huenda hao walifariki akiwa katika majukumu ya kitaifa hata hivyo ana utashi wa kuamua ni msiba upi ahudhurie. Acha lawama kwa mr president bana!!
 
Yaani nngu007 ndiyo hujui siasa kabisa....hao madaktari watamsaidia nini kisiasa? watu wapo kistrateji zaidi!! oooh...:target:
 
Back
Top Bottom