Kwenye mazishi JK huwa amekwenda kumsaidia nani? kweli vijana wa Slaa mmeishiwa la kusema.blueray,
..kila anayesaidiwa na JK lazima apigwe PICHA.
..kila msiba anaohani lazima wafiwa wapigwe PICHA.
..WHY??
Kwenye mazishi JK huwa amekwenda kumsaidia nani? kweli vijana wa Slaa mmeishiwa la kusema.blueray,
..kila anayesaidiwa na JK lazima apigwe PICHA.
..kila msiba anaohani lazima wafiwa wapigwe PICHA.
..WHY??
JK hajui nguvu ya madaraka yake, amafanya Urais uonekane kama kiranja wa shule ya msingi
Kwanza nipingane na wewe mkuu,
Katika ardhi ya Tanganyika, Zanzibar na Tanzania hakuna mtu anaeitwa Dr JK au Dr Jakaya Kikwe!
Tunae rais anaeitwa NDUGU Jakaya Mrisho Kikwete!
Nikirudi kwenye mada,
Rais wa nchi na serikali yake yote ni wasanii, hivyo huhudhuria misiba ya wasanii wenzao, na pia ni mtafuta sifa za kijinga!
Avatar yako inajieleza wewe ni mtu wa namna gani , hakuna haja ya kushangaa maneno yako. Daima mti wenye matunda matamu ndiyo unaopigwa mawe. Mtamtukana sana JK lakini hakika matusi yenu ni chachu ya Mungu wake kumlinda na kumpa nguvu zaidi ya kuwatumikia watanzania kwa nguvu zake zote.coz anapenda cheap populality, jamaa ni mtu wa kupenda kuonewa huruma, anaficha mambo yake ya kiutendaji kupitia misiba.
JK was suppose to be Santa Claus (father Christmas) not a President.
Ni vyema ukashangaa wale ambao hawahudhurii kuwa zika wenzao maanake wanashangaza kwa vile na wao watazikwa.
Kwanza nipingane na wewe mkuu,
Katika ardhi ya Tanganyika, Zanzibar na Tanzania hakuna mtu anaeitwa Dr JK au Dr Jakaya Kikwe!
Tunae rais anaeitwa NDUGU Jakaya Mrisho Kikwete!
Nikirudi kwenye mada,
Rais wa nchi na serikali yake yote ni wasanii, hivyo huhudhuria misiba ya wasanii wenzao, na pia ni mtafuta sifa za kijinga!
Unajua ni kiasi gani anasababisha kero kwa wananchi, kutokana na kuhudhuria hiyo misiba? Barabara hufungwa kwa zaidi ya masaa, wananchi wanataabika, wagonjwa wanateseka, anashindwa nini kupiga simu na kuwafariji wafiwa. Ukiwa Ulaya very rare to see rais anahudhuria mazishi ya mtu/msanii.Kwa vile kwa muda mrefu Watanzania tulizoea kuona Marais walioko mbali na wananchi wa kawaida, lazima tumshangae huyu Rais wa watu. Hongera sana JK
kumbe hata ya madaktari 'wenzake' anakacha!
Avatar yako inajieleza wewe ni mtu wa namna gani , hakuna haja ya kushangaa maneno yako. Daima mti wenye matunda matamu ndiyo unaopigwa mawe. Mtamtukana sana JK lakini hakika matusi yenu ni chachu ya Mungu wake kumlinda na kumpa nguvu zaidi ya kuwatumikia watanzania kwa nguvu zake zote.
Labda anakuwa hajataarifiwa au media hazitoi coverage ya kutosha kama zinavyofanya kwa wasanii. Si umesikia RC amebwia madawa ya kulevya na rais alipopata habari "kajitolea" kumtibu na juzi juzi mama na mwana wakatinga ikulu kumshukuru.Ishu wala sio kuhudhuria msiba...
ishu ni 'kuuchuna' wakati watu wanachangishana pesa huyo marehemu akatibiwe India
kwa miezi kadhaa....kumbe Rais yupo na anamtambua muhusika
halafu sikuya kufa Rais anajitokeza bila 'haya' kwenye msiba...
wakati yeye na wenzie 'mafua tu' wako Europe kuchunguzwa
05/01/2013
- Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
- ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale Muhimbili, sikusikia Rais kahudhuria.
- Mwaka 2009 alifariki Prof. Aziz, daktari bingwa wa upasuaji pale Muhimbili na aliyetibu watu wengi sana kupona mikononi mwake, aliugua na Serikali ilimwambia hawawezi kumpeleka kwa matibabu, akakopa pesa Agha Khan Hospital akaenda kutibiwa Ujerumani, alipogundulika na saratani ambayo alikaa nayo na kuja kufariki miaka kumi baadae akiwahudumia Watanzania Muhimbili, kufundisha Madakari wa upasuaji, alifariki na kuzikwa hatukuona wala salamu toka kwa Rais!
- 4.Tuna wiki tatu sasa amefariki Dkt. Bashiri aliyekuwa daktari mzuri sanakwa vipimo vya ultrasound, amehudumia Watanzania wengi, sijasikia Rais anahudhuria.
Hivi...
- Huwa anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?
- Hao washauri wake wanatoka katika kundi lipi la jamii?
Sou