Rais akemea mawaziri kutoa ajira kwa kujuana


Maneno yake Samia hayaendani na vitendo vyake!! Huyu mama is not cost concious at all, akiona fedha zinakusanywa yeye akili yake iko kuzitumia tu!! Angalia kwanza hilo baraza lake la mawaziri ni kubwa mno hivyo si tu litawagharimu wananchi fedha nyingi kulihudumia bali halitakuwa na tija!! Sidhani hata kama anawakumbuka majina yao hao wote aliowateua kuwa mawaziri!! Ukubwa wa baraza sio maana yake ufanisi katika utendaji.
Mama anatumia tu ndege za ATCL kwenda safari zake hajui kuwa zinagharimu fedha nyingi kuziendesha [ sio kama boda boda] hivyo shirika likipata hasara watendaji watapata kisingizio na huo utakuwa ndio uchochoro wa kulihujumu shirika!!
Mbona hatumii ndege ya Serikali badala yake anampa Rais wa Burundi ndio aitumie?
 
Watoto wa Wanyonge kama Hukubahatika kupata shavu vitengo nyeti enzi za JPM, kwa zama hizi unaweza uka hustle sana.
 
Rais Samia amewakemea mawaziri na manaibu Waziri kuajiri ndugu au marafiki zao katika taasisi za wizara wanazozisimamia kwa kuwa zinaua taasisi

Aidha amewataka kuondoleana ‘muhali’ kwa maana ya kutooneana haya kuambiana inapotokea mtu amekosea katika utendaji wake

Rais amesema muhali na ajira za kujuana zinaua taasisi na kuwataka mawaziri wazingatie hilo
Kama Wana qualifications waajiriwe tu......waswahili husema kizuri kula na nduguzo.....

Hata yeye kawa teua watoto wa kina Nape,makamba,pinda,kikwete...it's all about connection....
 
Back
Top Bottom