Naami akikaa kafiri kwenye urais waislam watapata misukosuko mingi sana,muembe chai na kule pemba ni ushahidi tosha.
BOMBAY said:Hahahahahahahaha,kile kibabu cjui kimekupa nn mpaka unakihusudu.Nchi hii haiendi kwa wachagga mkuuimaNaona unwritten rules ziko kibao! Hata hivyo kuna thread yenye maudhui kama hayo yako! Kwamba kuna makabila mwalimu aliyakataa!
Hilo la makabila siyo big deal wala nini, mara ngapi watu wa makabila tofauti wanapatana kuliko hata ndugu kwasababu tu ya Imani?
Mkuu Nduka, ukienda kwenye mnada wa hadhara, kama hicho kitu unakitaka wewe, utakwewnda na timu 3. Timu moja ni ya kwako mwenyewe, timu nyingine ni ya kuwakimbiza serious contenders wote kwa kila atakayeku outbid, mtu wako atamfurusha kwa ku bid very high hadi mwisho wa siku, the highest bidder ni mtu wako, the second highest pia ni wako na wewe ndio the 3rd.Umebadili kambi?
Kuna siku nakumbuka aliwahi kuandika kwenye twitter kuwa Mama yake ni mkristo swafi na huwa anawasalia kila siku kabla hawajaenda kulala walipokuwa wadogo.Hata Kijana, kuanzia jina ni Christian name, mama ni Christian, Mke ni Christian, watoto ni Christian, na kanisani ataingia!. Uislamu wake ni kwa Baba tuu kama alivyo Baraka Hussein!. He is fit in every aspects!.
Pasco
Kati ya Makosa makubwa watakayoyafanya CCM ni kumpitisha MWISLAMU kugombea Urais,Wakristo wataungana waziwazi kumpinga.Hawatakubali Mapadre na Wachungaji waendelee kuuwawa kwa miaka mingine Kumi.
raisi ajaye ni dokta slaa hao wengine wanajisumbua kupoteza muda wao bure
Mkuu unwritten constituion ni tofauti na unwritten rules! Kuna wakati sikuiona hii thread nilipo t aka kuijibu hii hoja yako.Nikaanzisha thread nyingine ambapo nilifafanua utofauti huo!
Unwritten rules ni taratibu tulizojiwekea ambazo haziko kisheria wala kikatiba!
Mfano ccm walipoamuwa kuwa spika sasa awe mwanamke! Ama wanavyosema kuhusu ujana nk.Hizo ni unwritten rules.
Mkuu tusiongelee issues serious as if ni porojo!Kuna siku nakumbuka aliwahi kuandika kwenye twitter kuwa Mama yake ni mkristo swafi na huwa anawasalia kila siku kabla hawajaenda kulala walipokuwa wadogo.
Mimi sidhani kama dini ni kigezo bali tuangalie uwezo wa mtu
Binafsi ningepenina na kijana achukue nchi, lakini pia uzoefu ni muhimu sana, may be atazungukwa na baraza la wazoefu.
All in all anatumia haki yake ya kidemokrasia na sina budi kumpongeza kwa kutokuwa mwoga
Hata kwenye ubunge aling'oa mtu mzito sana kule bumbuli....
Mkuu Nduka, ukienda kwenye mnada wa hadhara, kama hicho kitu unakitaka wewe, utakwewnda na timu 3. Timu moja ni ya kwako mwenyewe, timu nyingine ni ya kuwakimbiza serious contenders wote kwa kila atakayeku outbid, mtu wako atamfurusha kwa ku bid very high hadi mwisho wa siku, the highest bidder ni mtu wako, the second highest pia ni wako na wewe ndio the 3rd.
Wakati wa kulipa, the ist and the 2nd watafanya no show, ili mzigo uangukie kwako!.
Kwa wanaozijua siasa za nchi hii, JM na EL ni kambi ile ile sponsored by "the King Maker!", kuna watu niliwaeleza humu tangu mwanzo, kuna watu ni just "pace makers" na kina Yohana Mbatizaji tuu, wakiyanyoosha mapito ya "the chosen one!", hawakunielewa!, labda sasa wataelewa kwamba "that is what is the name of the game!", na kujua "the games people play!", "plays our minds away!".
Pasco
Mkuu please soma bandiko la awali kabisa na ulielewe.Acha udini mkuu; nchi hii hatuchagui watu kwa kufuata udini wao bali tunaangalia sifa na uwezo wa mtu tu. Wapagani nao watasemaje...?
Mkuu Faru Dume, katika mada yangu hii, [h=3]Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ..[/h]niliizungumzia hii dhana ya udini ya zamu za kupokezana!, nilishauri ili kuivunjilia mbali dhana hii, 2015 CCM imsimamishe tena Muislamu, tena this time iwe ni zamu ya Zanzibar na ikibidi makamo awe she!.Kati ya Makosa makubwa watakayoyafanya CCM ni kumpitisha MWISLAMU kugombea Urais,Wakristo wataungana waziwazi kumpinga.Hawatakubali Mapadre na Wachungaji waendelee kuuwawa kwa miaka mingine Kumi.
raisi ajaye ni dokta slaa hao wengine wanajisumbua kupoteza muda wao bure
Hoja ya afya haina mashiko kwa sababu kama mtoa afya ameamua ni fulani, hiyo afya ataiimarisha!.Hii itakuwa poor tactic by "king maker" maana it is obvious move. Tunamfahamu kama mastermind wa move hizi mbili ila nadhani na yeye atakuwa ana gamble tu maana mtu wako anaangushwa na afya yake naona mmeamua kuchagua fallback position. Mmeiacha wapi philosophy ya kambi yenu ya plan A without plan B.