rais ajaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye bila kutumia elimination method hatoboi

    Rais ajaye asipoeliminate baadhi ya mafisadi papa kutoka CCM mtandao, basi yatamuwahi na kumueliminate yeye. Masilahi ya kudumu ya CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania na yoyote atakayewapinga kufikia lengo lao hili wana mbinu zote za kumfikia na kumbomoa. Ni either...
  2. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kwa kupendwa huku hakika, Bobi Wine rais ajaye wa Uganda

    Huyu kijana Bobi Wine anamnyima Museveni usingizi. Sasa hivi ni wakati wa kampeni Uganda kuelekea uchaguzi. Lakini nguvu nyingi inatumiwa na mseveni kutumia vyombo vya dola kutawanya wafuasi wa bobi wine kwenye mikutano ya hadhara. adriz de mbusii
  3. Griss

    JamiiForums Tanzania Kama ni Samia, Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania

    Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea. Lissu ndiye Rais ajaye Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo. Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Magufuli hakuishi kumaliza ngwe yake inayomaliziwa na mzenj rais ajaye atoke bara

    Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni dhahiri Lissu ndiye Rais ajaye wa JMT

    Nina hoja Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo...
  6. Seven77

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50. Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Je CCM yamuandaa Mh Anthony Mavunde kuwa Rais ajaye?

    Wakuu salamu kwenu. Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
  8. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

    Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?! Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Wapinzani huwa inamsaidia zaidi Rais aliyeko madarakani kuliko kumdhoofisha, inampunguzia kudanganywa!

    Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto Ruhusuni mtanishukuru baadae
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye

    Ndiyo na ni suala la muda tu.
  11. Conwel Ngani

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye baada ya Putin atalazimishwa kulipa hasara iliyosababishwa Ukraine

    Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea. Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala...
  12. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto rais ajaye Kenya?

    Umati unayo hudhuria mikutano ya Ruto unatisha.Hapa Nakuru strong hold ya team kieleweke. Tangatanga mnatisha.
  13. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

    1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA) 2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI) 3. Philipo Mpango: Ingawa...
Back
Top Bottom