pjjande ngao
Member
- Nov 20, 2019
- 23
- 4
1. Makonda
2. Dotto James
3. Kalemani
4. Ole Sabaya
5. Chalamila
6. Kicheere
7. DPP
Hawa hamna namna watachezea kùta za Segerea kama Mramba na Yona
thibitisha 2.4 dili kivipi?? watanzania ni watu wa ajabu sanaKupiga dili ? Mbona hamna mtu anamzidi Jiwe kupiga dili!! Miaka 4 katengeneza Tsh 2.4 Trilion kupitia Uwanja wa Chato, Boeing na Stigler!!
Msijifanye hamumjui mtu aliyekubuhu kupiga dili wakati inajulikana Jiwe akiwa Waziri katengeneza fedha kupitia Kivuko cha Bagamoyo na Nyumba za Serikali.
Watanzania muwe mnasoma otherwise mtaendelea kupitwa maendeleo na nchi zingine za Afrika.thibitisha 2.4 dili kivipi?? watanzania ni watu wa ajabu sana
Umeumbuka kamanda!Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije ukawa sawa naye (Mithali 26:4)
Umesema neno mkuu... Serikali inatimiza wajibu wake kwa kukata kodi na izo izo kodi ndo zinaendesha miradi yetu na kama mtu anahatia lazima sheria ifanye kazi na wale wenye kudai naamini ipo siku Mungu atasikia kilio chao na watalipwa tubaada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.
hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.
chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara
Walikuwa awafanyi kiutaratibu ndo maana zimetaifishwaWamiliki wa maduka ya kubadili pesa za kigeni wamedhulumiwa pesa zao nyingi wanalia moyoni wametunza kumbukumbu wanasubiria mda tu kuanzisha madai yao.
Wewe ni mlemavu wa akili kama walemavu wengine, hatuna dawa yake. Endeleeni kutetea utawala dhalumu kwa vile mnalipwa kwa kila mnachopost humu.
Sorry nigger, I don't know even how I quoted such a post from a low minded person like you. I bet your life is so much full of stress to the extent that you either have lost control of yourself or no more hope, vision, or direction. I feel pity for you nigger. But I believe you will come through, that is life men
Kwa hiyo MaCCM mnatoa tuhuma bila data?Ndiyo maana nakuita mpumbavu kwa vile kila mkosoaji mnadhani ni M CHADEMA. Kwa taarifa yako mimi ni CCM na kadi yangu ni ya mwaka 1981.
Nimekuelewa vizuri Mkuu. Nchi limeharibika sanaHoja hupingwa kwa hoja; siyo matusi na kejeli. Wala hoja haipigwi rungu. Ethiopia wameanza kuwalipa fidia watu waliodhulumiwa kisiasa na utawala uliopita ikiwa ni pamoja waliofungwa kwa kesi za kisiasa! Pamoja na mambo mengine, nchi yetu imeshatumbukia kwenye siasa za halaiki (populism). Itahitaji kiongozi mwenye upeo mkubwa sana kama Nyerere au basi Mkapa kuweza kuturudisha katika mstari na kuachana na siasa nyepesi. Vinginevyo mwelekeo ni kuendeleza hiyo mbegu ya siasa za halaiki kiasi kwamba kiongozi atakayefuata atataka kupata umaarufu kwa kusahihisha makosa ya mtangulizi wake. Na kwa hakika ya kusahihisha ni mengi sana.
Yaonekana huyu Daddo akili yake ni ya utumwa. Kwa nini umuite mtoa mada "nigger". Huu siyo utamaduni wetuSorry nigger, I don't know even how I quoted such a post from a low minded person like you. I bet your life is so much full of stress to the extent that you either have lost control of yourself or no more hope, vision, or direction. I feel pity for you nigger. But I believe you will come through, that is life men
Wazungu wanaita "vision"Hoja hupingwa kwa hoja; siyo matusi na kejeli. Wala hoja haipigwi rungu. Ethiopia wameanza kuwalipa fidia watu waliodhulumiwa kisiasa na utawala uliopita ikiwa ni pamoja waliofungwa kwa kesi za kisiasa! Pamoja na mambo mengine, nchi yetu imeshatumbukia kwenye siasa za halaiki (populism). Itahitaji kiongozi mwenye upeo mkubwa sana kama Nyerere au basi Mkapa kuweza kuturudisha katika mstari na kuachana na siasa nyepesi. Vinginevyo mwelekeo ni kuendeleza hiyo mbegu ya siasa za halaiki kiasi kwamba kiongozi atakayefuata atataka kupata umaarufu kwa kusahihisha makosa ya mtangulizi wake. Na kwa hakika ya kusahihisha ni mengi sana.