Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,240
- 34,376
Mkombozi ni nyie wenyewe na fikra zenu.Nauhakika kuwa Waislamu wanadhulumiwa hapa tz,
Tunaomba Mungu amlete mkombozi.
Mkombozi ni nyie wenyewe na fikra zenu.Nauhakika kuwa Waislamu wanadhulumiwa hapa tz,
Tunaomba Mungu amlete mkombozi.
In Sha Allah, Mkombozi yupo njianiMkombozi ni nyie wenyewe na fikra zenu.
Future Impossible tenseIn Sha Allah, Mkombozi yupo njiani
Mfano mmoja, ni idadi ndogo sana ya wafanyakazi wa Kiislamu serekalini.Hebu tuthibitishie kwa mifano.
Hamna kitu impossible kwa Mungu.Future Impossible tense
Ndugu hauwezi kupinga ukweli.Wakati wewe unasema anaudini kuna wenzako wanalalamika anaukabila.
Wakati wewe unalalamika ana udini kuna wenzako wanalalamika ana undugunazation.
Wakati wewe unalalamika anaudini kunawezako wanalalamika anaujinsia.
Wakati wewe unalalamika anaudini kunawezako wanalalamika anauchama/uccm.
Huwezipinga au ondoa udini kwa kuendekeza udini!!. "Kuajiri kwa kufuata usawa wa dini ni kuendekeza udini badala ya kupunguza.
Ajira zitolewe kwa kigezo cha taaluma/ professionalism na sio vinginevyo.
Sijui kama umenielewa!! Sipingi wala sikubali kama wanadhulumiwa! Ila hoja yangu ukitaka kuondosha udini kwenye ajira zingatia professionalism.Ndugu hauwezi kupinga ukweli.
Waislamu wanadhulumiwa
Sijui kama umenielewa!! Sipingi wala sikubali kama wanadhulumiwa! Ila hoja yangu ukitaka kuondosha udini kwenye ajira zingatia professionalism.
Tukishaanza kufikiri kwenye ajira lazima kuwe na usawa wa dini tutaharibu badala ya kujenga
Usawa huu haupo ndio maana wafanyakazi wakiislamu wachache sana tena sana serekalini.Naukifanya kazi au biashara huku ukiwa na dhana kuwa waislam wanaonewa utapata tabu sana, hutoweza kufanikiwa, kama una duka unahitaji wateja wakristo na waislam, kama una shule unahitaji wanafunzi wakristo na waislam, kama una basi la abiria unahitaji abiria wa dini zote, so ukileta udini kwenye shughuli zako ziwe za kiserikali ama binafsi hutokaa upige atua, muone binadamu yeyote aliye mbele yako kama ndugu na fursa ya wew kufanya kazi vizur zaidi na kufikia malengo yako, kama boss wako ni wa dini tofauti muonyeshe kuwa una uwezo kwa kupitia kazi zako na siyo dini yako ndugu yangu, unachelewa sana kulitambua hili.
Dunia haina usawa kwa mtu mzembe anayelialia, ukijipambanua kiutendaji dunia itakuona, kanisani kwetu mlinzi ni muislam, siyo kwamba hakuna mlinzi mkristo lah!Usawa huu haupo ndio maana kuna wafanyakazi wakiislamu wachache sana tena sana serekalini
Serekalini =SerikaliniMfano mmoja, ni idadi ndogo sana ya wafanyakazi wa Kiislamu serekalini.
Hata Mkimwomba Mungu usiku na mchana bila kuchukua hatua ya kusoma na kuinvest ni kazi bureHamna kitu impossible kwa Mungu.
It is just a matter of time, things will change for better In Sha Allah.
Kwan vigezo vya ajira serikalini na dini imo?Usawa huu haupo ndio maana kuna wafanyakazi wakiislamu wachache sana tena sana serekalini
Fanya utafiti idadi ya mawaziri,naibu waziri,majaji,makatibu wakuu,naibu katibu mkuuMama samia ni dini gani?
.kassim Majaliwa?
.
Jaji mkuu?
Wewe ni mpumbavu
Haya ni Mawazo Muflisi kabisa kwenye Karne hii. Kwani akiwa rais wa dini yako wewe binafsi na familia yako mnafaidikaje... watu wanye mawazo ya design hii mara chache sana kuweza kuwa na maendeleo..kuanzia elimu hata uchumi..badilika Mtanzania mwenzangu...Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.
Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu.
Ukifika kwenye ofisi za umma utakuta Mtumishi kaweka kwa sauti music wa dini fulani na watu hawahoji.
Hii sio bahati bahati mbaya Wala coincidence. Ikumbukwe kuwa mishahara ya ajira na posho za vikao na mikutano ndizo zinazokwenda kuwekezwa kwenye elimu za watoto na maendeleo ya familia za watu waliopewa fursa ya ajira na kuhudhuria mikutano na kupata hela.
Hii inasababisha maisha na familia za jamii inayooatiwa fursa hizi kuwa mbele kimaisha na kielimu. Hivyo familia za wanufaika kuendelea kutoa watumishi bora na wenye elimu shindani na wale wanaonyimwa fursa kuendelea kutoa watu wasiokuwa bora na elimu shindani kwenye ajira, "vicious circle"
Rais anayekuja lazima azimulike ofisi zote za umma na taasisi, washa, mikutano na workshops na teuzi zote ili kujiridhisha na uwiano wa kidini pia baada ya vigezo vingine kukamilika.
Taasisi zetu za dini hazijui kazi zao au zinaogopa kutimiza kazi zao? Au ni hayo hayo matokeo ya kukosa fursa za elimu kwa njai hii?
Rais ajae pamoja na Mambo mengine ya jumla lakini autazame pia huu ufa kwenye taifa.
Wazee wa kulialia na kulalamika.
Tumeshawazoea ninyi, endeleeni kutawadha tu badala ya kuinvest vizuri katika Elimu
Mama samia ni dini gani?
.kassim Majaliwa?
.
Jaji mkuu?
Wewe ni mpumbavu