Suala la dini ni gumu sana,sijui ni bahati mbaya au ni mpango, dini fulani kubwa watumishi katika ofisi za umma ni wa kutafuta na tochi.Ushauri kwenu nyie wa hiyo dini
1) kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako sio lazima uwe umeajiriwa na kulipwa posho za semina kama ulivyosema hapo juu. Sasa ivi watu wengi wanajishughulisha na biashara pamoja na kilimo ambazo zinawaingizia pesa nyingi tu. So kuwekeza kwenye elimu ni wewe mwenyewe tu
2) Zanzibar mpo karibu 99% ya watu wote wanaoishi huko na hivyo dini hiyo ndio waliojaa kwenye hizo ofisi huko zanzbar, sasa kwa nn msiwe mfano huko zenj kwa kuwekeza kwenye elimu ikiwa nyie mpo wengi sana kwenye ajira huko?? Hebu tueleze hadi sasa mna vyuo vikuu vingapi na bora?..
Kama dini zinawafarakanisha , hazina umuhimu wa kuendelea kuwepo.Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.
Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu...
Nyie wa Dini fulani fulani somesheni watpoto wenu waende mpaka vyuo vikuu sio kuwalazimisha masomo ya hizo dini zenu harafu mnakuja kulalamika. Serikali haiongozwi kwa elimu za dini, sasa mkiwajaza elimu dini msubiri kuwapa kazi na vyeo huko huko kwenye dini zenu.Isiishie huko tu Hadi kwenye shughuli binafsi unakuta ni wadini fulani tu ndio wameajiriwa, hili lipo sana. Hapa mamlaka za ajira na mifuko ya Jamii ziliangalie hili maana hata wao wanawajua kupitia list za majina wanayokata michango ya wafanyakazi hii itasaidia kuleta balance.
Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi.
Chukulia mfano, Kati ya wanafunzi mia mbili wa Udaktari wanaodahiliwa kila Mwaka na Chuo Kama Muhimbili, Hawa ndugu zetu huwa hawazidi ishirini...
Nyie wa Dini fulani fulani somesheni watpoto wenu waende mpaka vyuo vikuu sio kuwalazimisha masomo ya hizo dini zenu harafu mnakuja kulalamika. Serikali haiongozwi kwa elimu za dini, sasa mkiwajaza elimu dini msubiri kuwapa kazi na vyeo huko huko kwenye dini zenu.
Mara nyingi mtu watu wanashindwa kugundua chanzo cha tatizo. Embu somesheni watoto wenu ili katika maombi ya kazi wawe wengi na wenye uwezo unaotakiwaSuala la dini ni gumu sana,sijui ni bahati mbaya au ni mpango, dini fulani kubwa watumishi katika ofisi za umma ni wa kutafuta na tochi. Nipo kwenye idara yenye watumishi 27 lakini afisa muislam nipo peke yangu! Kusema ukweli kwa kadri ninavofahamu sijawahi kuona kubaguliwa kwasababu ya dini yangu. Suala la semina na vikao (baadhi) kufunguliwa kwa sala na kufungwa kwa sala tena ya dini fulani nimekutana nalo mara kadhaa, nadhani suala hili lipigwe marufuku, Semina na warsha zifunguliwe kwa wimbo wa taifa ambao pia ni dua ndani yake, yaani MUNGU ibariki Afrika....
Mkuu nakubali kabisa suala la kusomesha watoto, lkn itachukua karne kwasababu kuna vicious cycle ambayo ishajitengeneza. Binafsi sijui imetengenezwa au imejitengeneza yenyewe, lkn kama nilivyoeleza, katika utumishi wangu sijawahi kuona nimebaguliwa kwa ajili ya dini yangu so I don't know if it's planned or not.Mara nyingi mtu watu wanashindwa kugundua chanzo cha tatizo. Embu somesheni watoto wenu ili katika maombi ya kazi wawe wengi na wenye uwezo unaotakiwa
Mara nyingi mtu watu wanashindwa kugundua chanzo cha tatizo. Embu somesheni watoto wenu ili katika maombi ya kazi wawe wengi na wenye uwezo unaotakiwa
Mbona sensa ya mwaka 2012 Kikwete akiwa Rais alikataa hili, je Waislam ndio minority?Siku itakaporuhusiwa kuulizwa wewe dini gani kwenye kura ndio siku tatizo litaisha, na katika haya makundi mawili asietaka hili basi anajua jibu fika kama yeye ni minority. Inashangaza kwa nini dini zipo na zinatambulika ila kujua idadi kundi moja halitaki kabisa kusikia hii habari.
Tatizo la waislam hawajiamini wanapokuwa madarakani, wenzao wakikamata vitengo, wanakamua ile kinomanoma.
WATCH AND LEARN nyie wazee wa baragashia!
Asilimia kubwa ya matumizi ya serikali Ni mishahara, hii ina maana asilimia kubwa ya matumizi ya Kodi za watanzania inakwenda kwenye kundi la jamii lililopewa ajira. Umakini unahitajika Sana kwenye ajira na uteuzi wa watumishi kwenye nafasi mbalimbali.Hata ukienda vyuo vingi Kama UD, Mzumbe, SUA n.k ukifanya observation utagundua hawako wengi
Huko primary kwakuwa Ni bure hakuna malipo utakuta uwiano unakaribiana, ukienda secondary makundi yanaaza kujitokeza ghafla kutokana na purchasing power ya wazazi.Huoni kwamba hiyo ni dosari mkuu? Observation yako ianzie kwenye Primary schools and Secondary Schools O level hasa za umma ambapo idadi ya wanafunzi inakaribiana. Kadri unavyokwenda kwenye elimu ya juu ndio kundi moja la kijamii linavyozidi kupukutika na kuachwa nyuma! Hivi serikali haioni haja ya kufanya utafiti juu ya jambo hili?
Mkulima na muoka mandazi atamfundisha mwanawe kulima na kuoka mandazi, mwajiriwa atamfundisha mwanawe kufanya nini? cycle irajirudia tu. Ndiyo maana mwl Nyerere aliliona hilo na akaamua kuzitaifisha baadhi ya shule za kidini ili watoto wote wasome angalau kupunguzi pengo lililoachwa na wakoloni.Sasa mchawi upo hapo kwenye elimu kuanzia Msingi hadi Elimu ya Juu. Katika matokeo ya ngazi ya std VII na kidato cha 4 kwa miaka mitano niliyofuatilia(2014-2019; mikoa inayoongoza mara nyingi ni Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Njombe, Kagera, Shinyanga, Dar es Salaam na mzunguko huo huendelea.
Mikoa inayofanya vibaya ni Tanga, Mtwara, Lindi, Unguja, Pemba na Mzunguko huendelea. Sasa kwa pattern na trend hiyo inayotokea kwenye drawing board, kwenye msingi kabisa, unadhani elimu ya juu na kwenye ajira, ni nani watakuwa wengi?
Kwani wasukuma na wachaga Nani Ni wengi kwenye jamii ya Tanzania? Kwenye ajira pia kuko hivyo? au wanaitana hata kwa kazi za kufagia ofisi na kufyeka majani wizarani?Sasa Mzee ili ujue mtu yupo under selected ama la lazima uangalie na proportion yake kwenye population kwanza
Maana Kama Kati ya watu million moja mpo laki moja huwezi kutegemea kwenye selection muwe 50/50
Ndio maana nikatolea huo mfano wa Zanzibar wao wapo wengi na Wakristo wachache so haishangazi Waislam wakawa wengi Serikalini kuliko Wakristo
Population sio lazima the whole population. Na hatuwezi kuwa tabia zinazofanana au akili zinazofanana za kuona fursa.Kwani wasukuma na wachaga Nani Ni wengi kwenye jamii ya Tanzania? Kwenye ajira pia kuko hivyo? au wanaitana hata kwa kazi za kufagia ofisi na kufyeka majani wizarani?
Kwanza hizi biashara za maombi na swala kwenye shughuli za kiserikali zilipaswa kupigwa marufuku.