Ila utashangaa pamoja na kuandika madudu yote haya huyo aliyetoa agizo akipitia coment yake anampa 'like'.Kwani ukilewa ni lazima uje uchangie huku jukwaani? Ukiamka kesho baada ya pombe kukuisha kichwani, pitia uone ulichoandika mbali ya kwamba hakieleweki lakini uone kama una nukta wala koma. Hii ni baadhi ya sentesi ndefu kabisa duniani kupata kutokea.
mzee anatupa tabu sisi wapenzi wake kwa uongo??Achilia mbali kuropoka, pia ana sifa ya kusema uongo...
Acha ujinga Magufuri ameipa heshima sana Tanzania Na watanzania kwa ujumla.Leo hii nchi zote za Afrika mashariki wanatuogopa kinoma, Sababu Tanzania lilikuwa kama Danguro la walanguzi wa kila sina .Tulisema Magufuli ni dikteta, watu wakabisha.
Dikteta ni mtu anayekiuka utawala wa sheria na kutaka kuendesha mambo kwa kauli binafsi tu.
Magufuli ni mtu wa aina hii.
Aisee, kumbe anajua busara!! Sasa ile michango ya waathirika wa tetemeko huko kwenu mbona busara haikutumika? Au alikuwa bado hajapata busara?Alisema watumie busara zaidi, na uongozi si sheria tu. Uongozi ni kutoa maamuzi kwa busara za kiuongozi.
Wewe huyo mtu mwenyewe unayetaka kumsifia hata herufi za jina lake huzijui, umeandika "Magufuri" badala ya Magufuli.Acha ujinga Magufuri ameipa heshima sana Tanzania Na watanzania kwa ujumla.Leo hii nchi zote za Afrika mashariki wanatuogopa kinoma, Sababu Tanzania lilikuwa kama Danguro la walanguzi wa kila sina .
Hili nalo msemaji wa serikali anatakiwa alitolee ufafanuzi, naona mnalitumia vibaya.Je umewasikia mawaziri wanalalamika ktk kutafsiri, kwa nini uwasenee, ACHA KUWASHWA WASHWA
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Ujumbe umemfikia mhusikaWewe huyo mtu mwenyewe unayetaka kumsifia hata herufi za jina lake huzijui, umeandika "Magufuri" badala ya Magufuli.
Sasa nitegemee vipikwamba utaweza kuchambua mambo kwa undani wakati herufi za jina tu zinakushinda?
Nikikwambia inawezekana Magufuri ameipa heshima Tanzania, huyo simjui, mimi namuandika Magufuli,si Magufuri,utasemaje?
Huo mda uliotumia kuandika utumbo huu ni Bora ungeeenda chimbo kuvuta bange kama kawaida yako mkuu...Jamani wadhani rais hata Ana shida kiasi hicho? Japana sijaona utata hapo kamaanisha hivo kuwa wanaolima karibu Na MTO wsibughudhiwe kama lingine ongea au uliza usitukane matusi ni dhambi vitabu vyote vitukufu vinasema nakilasaa Na dakika wako malaika wanaandika mambo yote unayoongea Na hata kama MTU mkubwa kama Yule akikosea mwambie tu kistaarabu atakuelewa kuliko kujichumia madhambi yakulizimisha ndugu yangu vitabu vimesema kwa ajili ya kujihami Na mdhambi kama huna maneno mazuri yakusema nyamaza nyinyi ndo wale mtafika kwa mungu kwa shauku ya kupata pepo lkn uikute imeenda kwa magufuli yote maana ulimtesa kwa matusi kila aina naye wala hakukurudishia nawe MH magufuli usiwarudishie tusi lolote kwakuwa hawajui watendalo acha wakakutane Na muuba wao hukohuko mheshmiwa.
Hakuna cha ujumbe walaushuzi wa ujumbe, ungumbaru mtupu.Ujumbe umemfikia mhusika
Hajakiuka sheria yoyote kwani sheria haimtaki mtubkulima au kufanya shughuli zingine za kibinadamu ndani ya mita 60 ila kwa kibali cha waziri,Rais ni mkubwa kuliko waziri ni sawa katoa kibali kwa niaba ya waziri kwa nchi nzima na tayari waziri husika ameshaanza kuandaa muongozo kwa ajili ya watendaji wengine namna ya kutimiza agizo la rais.Tulisema Magufuli ni dikteta, watu wakabisha.
Dikteta ni mtu anayekiuka utawala wa sheria na kutaka kuendesha mambo kwa kauli binafsi tu.
Magufuli ni mtu wa aina hii.
Magufuli hajawahi kukiuka utawala wa sheria?Hajakiuka sheria yoyote kwani sheria haimtaki mtubkulima au kufanya shughuli zingine za kibinadamu ndani ya mita 60 ila kwa kibali cha waziri,Rais ni mkubwa kuliko waziri ni sawa katoa kibali kwa niaba ya waziri kwa nchi nzima na tayari waziri husika ameshaanza kuandaa muongozo kwa ajili ya watendaji wengine namna ya kutimiza agizo la rais.
Hajawahi.Magufuli hajawahi kukiuka utawala wa sheria?