Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Natumai wote ni wazima,naomba tukutane hapa tuongee kuhusu hoja na taarifa mbalimbali tuzijadili hapa.Huwa napenda sana siasa za kimataifa.Wadau tujadili na tupeane taarifa za nini kinajiri US
ahahahahaha nimecheka kwa sautiiiiiiiiii teh teh teh tangu lini mimi nikasaport siasa za maji taka? ebu weka link yoyote ya uzi wangu uliohusu usemayo.Nakumbuka kipindi cha ukawa ulikuja hapahapa ukasema ENL anakuwa mshindi,l dont trust ur "RAMLI"
Trump pia mkuu naomba tuweke hill dau ilabuwe mwaminifuUmekubali lakini?
Daaaah nahisi macompany ya kubet, yangebetisha hii kitu wangepiga pesaTrump anakwenda kushangaza ulimwengu kwa kuinuka kidedea, anayebisha awake dau.![]()
kabisaaaaaa we pray for her.tukubali tukatae H.C anashinda haihitataji hata ramli kujua hilo
asante habari wanayo.Hillary Clinton atashinda kwa zaidi ya 6% dhidi ya Trump. TWAWEZA za ukweli za Marekani zote zimesha tabili na ndiyo hali halizi. hakuna hata utafiti mmoja uliompa ushindi Trump. Habari ndiyo hii. Tusubiri.
mkuu mimi sinaga ujinsia nasifia penye sifa pia napondea penye uozo nichunguze utanielewa.Huu Uzi unawahusu wanawake tu
I see feminists at their best
Women are women u can't call them wo-men that means they "won't be men"
A kind of weak species that can't stand alone but rely from others
For me I see bill Clinton is going to rule America for third time ,but this time as a shadow President.
Its disgusting US has no. Any appropriate candidate
I predict anyone between these two craps will have one team at Oval Office I don't see how they can last longer
[emoji2] [emoji28] [emoji28]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Just joking mkuu!ahahahahaha nimecheka kwa sautiiiiiiiiii teh teh teh tangu lini mimi nikasaport siasa za maji taka? ebu weka link yoyote ya uzi wangu uliohusu usemayo.