Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana

Mtamfanya mama wa watu akachukue Serengeti boys kama yule Mbunge wa Viti Maalum wa CCM!
 
Hilo gazeti ama kipeperushi?

Wahariri hii tabia ya kuchuma pesa kwa vichwa 'tata' vya habari ambavyo huibua hisia hasi kwa wasomaji itawarudia.
 
Yan Magufuli na Makonda sasa wanaibua jambo jipya kubwa kila siku kwa gharama yoyote ile ili tu kutuondoa kwenye kuhoji ubovu wa jinsi serikali na nchi vinavoongozwa!
 
Fikirieni pia kwa nini waandishi wanakosa habari.ni hizi sheria za ajabu ajabu walizotunga awamu ya tano.waandishi wanalazimika kuandika utumbo tu,maana hakuna uhuru
 
Kwa mambo kama hayo lazima watu walalamike hawana kazi na njaa.Mie nadhani mhariri angetuonesha mkewe
 
Fikirieni pia kwa nini waandishi wanakosa habari.ni hizi sheria za ajabu ajabu walizotunga awamu ya tano.waandishi wanalazimika kuandika utumbo tu,maana hakuna uhuru
Akili zao tu mbovu,uhuru gani wanautaka,kuna habari za kilimo na uvuvi nyingi tu zinaweza kuwasaidia vijana kujiajiri
 
Back
Top Bottom