Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana

Linalo maslahi sababu watu wanacheck integrity ya viongozi katika utii wa sheria na viapo vyao wenyewe, kuna mawaziri wamesema wakirudi likizo kuna watu watawakamata kutokana na ushiriki wao wa mapenzi ya jinsi moja. Tunaonekana wananchi ndio wapiga dili, wezi, wala unga, wange-se, wasagaji, wala rushwa, wauza unga, wamegushi vyeti, hawatii sheria za barabarani, wavivu, wazembe, wajinga wapumbavu, wenye mikosi, mashetani n.k lakini viongozi wetu na wateule wao ni malaika, wasafi, watakatifu, waadilifu, wachapakazi, wenye uchungu na nchi.

Sasa wenye kuhoji hizi sifa walizojitwika watawala ni watu wema manake wengine wametoka huku kwetu tunawajua na records zao tunazo wanatustua walivyogeuka ghafla kuwa malaika wakati tunawajua ni binadamu kama sisi na wanayomapungufu yao sasa wasiyaone ya kwetu tu sisi wananchi na kuyatumia kutuumiza wakiachiwa wataumiza wengi sababu wameshaumiza watu wengi.

wewe usiyetaka kuhoji ndio medula yako tunamashaka nayo ilipo labda unaikalia.
Pumba kabisa
 
Wewe ndiyo umejibu hoja. Hongera sana.
Wengi walikuwa wanapuyanga tu.
Ajabu watu hupenda kuwafahamu wake za viongozi wanaume. Kwani kuna ubaya gani kuwafahamu waume wa viongozi wakike?
Asante, ingawa inatakiwa nguvu kidogo tu ya kufanyia research mambo haya, tena kwa utandawazi huu hutopata shida sana. Karibu.
 
Pumba kabisa

Sasa wewe humu JF hata robo mwaka bado ujuvi wa kujua pumba ni mali utatoa wapi? PUMBA ni mali siku hizi debe 5,000 nenda na wakati, enzi hizo pumba ilikuwa haina thamani ndio wenzio walikuwa wanaitumia. Wewe muda ukifika utaelewa tu nini tunamaanisha.
 
Sasa wewe humu JF hata robo mwaka bado ujuvi wa kujua pumba ni mali utatoa wapi? PUMBA ni mali siku hizi debe 5,000 nenda na wakati, enzi hizo pumba ilikuwa haina thamani ndio wenzio walikuwa wanaitumia. Wewe muda ukifika utaelewa tu nini tunamaanisha.
Kama umekaa humu miaka 3 na uwezo wako wa kufikiri ndiyo umefikia hapo basi wewe ni tatizo
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu. Hivi tumemaliza yote mpaka kuyaendea hayo? Je, kama hana mume! Maana swali lina uliza, mume ni nani? Hana sasa.

Kama hana mume maana yake watu wawe huru kujitokeza kupeleka posa ndiyo lengo la mwandishi. Maana mwanamke kama hajaolewa ni ruksa kwenda kuchumbia.
 
Inahuzunisha kuwa na waandishi wa udaku, wambea na viashiria vya ushoga. Kama kweli ni weledi wa kazi yao haichukui hata dakika tano kujua hayo wanayoyataka, hata kutoka kwa mwenyewe. Alipooelewa harusi ilikuwa dhahiri na kila aliohudhuria AKDI hiyo alimshuudia. Jina lake Ustaadh Maalim Hafidh. Someni pia Silka na desturi za Wazanzibar kindakindaki na jinsi wanavyoendesha nyumba zao. Wote siwakuja.Ni wazanzibari wadamu
Usipanic!
 
Kuna wakati nawaza kwamba labda kuna baadhi ya watu ile medulla oblongata imekaa kwenye ugoko badala ya kichwani.
Hili la kuhoji mume wa makamu wa raisi lina maslahi gani kwa Taifa!?
Kuna mengi ya kuandika kuhusu mustakabali wa nchi siyo huu upumbavu
jibu swali mme wake ni nani utawala bora unanza na familia sio ulete maneno mstakabali wa taifa anao Mungu si binadam
 
Kwahiyo mnawajuza wa baba kuwa hana mume sio? Msimpe shida huyu mama vidume vikaanza kumfuta inbox...maana sijaisahau ile story ya yule mama aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa kule Bagamoyo
Ilikuwaje mkuu? fafanua kidogo mkuu na kama kuna link weka
 
Hili lingekuwa gazeti la udaku tu maana hamna namna au ndo another tv series baada ya mamedicine
 
Back
Top Bottom