Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana

142cf1470aa9cfc75bebd2ba68325b60.jpg
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu. Hivi tumemaliza yote mpaka kuyaendea hayo? Je, kama hana mume! Maana swali lina uliza, mume ni nani? Hana sasa.


Umenena, shida yetu ni talalila nyingi badala ya kuangalia na kujadili mambo ya msingi,
 
Kuna wakati nawaza kwamba labda kuna baadhi ya watu ile medulla oblongata imekaa kwenye ugoko badala ya kichwani.
Hili la kuhoji mume wa makamu wa raisi lina maslahi gani kwa Taifa!?
Kuna mengi ya kuandika kuhusu mustakabali wa nchi siyo huu upumbavu
Wewe ndo ubongo ugoko. Siyo makamu wa raisi jifunze kiswahili
 
Mawazo mfu. Mnapenda sana kuheshimiwa lakini utu na heshima za wengine hazina maana kwenu.

Labda kama wewe unatoka sayari ya Saturn ndio maana unakuwa mgumu kuelewa!!!! Hivi ni kosa katika mila zetu za Kiafrika wanaume kuuliza kama yule mwanamke ameolewa au hajaolewa?!!!! Au wanawake kuuliza kama mwanaume fulani ameoa au hajaoa?!!! Wewe unakasirika nn watu wakihoji maswali kama haya?!!! Wewe ndiye hasa mwenye mawazo mfu hapa.
 
JE WAJUA kuwa mume wa makamu wa rais ni kiongozi pia???
analindwa kwa kutumia kodi za wananchi??
anatembelea gari ambazo zimenunuliwa kwa kodi ya wananchi??
muda wao ukiisha atalindwa kwa kutumia kodi ya wananchi???
mama Samia akitoka nje ya nchi na yeye pia huenda but nauli zao ni kodi ya wananchi???
Kwsni di ni stahiki xilizoakalishwa. Hivyo kumjua au kutomjua stahiki hazibadiliki.
 
nilwai kusikia jamaa akisema kwamba alikuwa anatamani kucheza na mke wa waziri mkuu lakini akaogopa kwamba waziri ana wivu sana
 
Back
Top Bottom