SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,096
- 75,541
Mzee wa shanga amekuwa mtu wa ovyo sana siku hiziGazeti la vichaa
Mzee wa shanga amekuwa mtu wa ovyo sana siku hiziGazeti la vichaa
Siasa ni siasa tu na siasa zina mbinu nyingi. Mbinu ya Mbowe ni sawa na mbinu ya Lissu pia ni sawa vile vile. Ndiyo maana kuna wale wakali sana na wapo watu wa wastani kwenye siasa.Chadema ya Mbowe sasa inasubiri kila kitu iambiwe toka Magogoni.
kijarida cha kufungia mavi ya mbwa kuyatupaGazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lisu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.
Tundu Lisu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.View attachment 2616296
Hii habari ina ukweli!!??Ameliuza Kwa mmiliki wa mwanahalisi ambae alikuwa mbunge WA Chadema ubungo zamani
Linamilikiwa na Said Kubenea ...uliza uambiweHii habari ina ukweli!!??
inaonesha ni kwa jinsi gani hujiheshimu hata kama unatumia jina bandia!!Acha kumfananisha Magufuli na ujinga wa MIGA na kuolewa Ubelgiji
Aisee. Hiyo ni habari mpya kwangu!!Linamilikiwa na Said Kubenea ...uliza uambiwe
Katiba ni takwa la watanzania wengi tu na siyo CHADEMA peke yao ila CCM ndiyo hawataki Katiba mpya. Halafu mbona hatuoni CHADEMA ikiungwa mkono inapopigania Katiba mpya ila kila siku inalaumiwa kwamba yenyewe ndiyo inayosababisha Katiba mpya isipatikane??Je, kwa mwendo huu, kutapatikana Katiba isiyokuwa na maslahi binafsi?
Kama chama lazima yapo mambo muhimu ambayo yanahitaji kauli na msimamo thabiti wa viongozi na wanachama. Simkubali sana Lisu lakini ana akili kuliko wenzakeAcheni kuchochea migogoro, hata Msigwa mlisema hivo hivo alivopishana na wenzake hadharani. Kwenye chama hamuwezi wote kuwa na mawazo sawa na hii ndio demokrasia. Hakuna mgogoro Wala Nini kama mnasubiri Chadema kupasuka mnapoteza muda tu.
Aisee. Hiyo ni habari mpya kwangu!!
Hata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande utamsingizia MagufuliXhochote kitokeacho kwa sasa ni jambo la kheri Kwan MAGUFILI ajishajiletea umauti mwenyewe!!!!
Celebrate, celebrate, celebrate....tunalala, kuongea, kuwasema, kukosoa, kushauri kwa aman kwan jini magufuli alishatoweka
Team magu kamfufueni MUNGU WENU chattle
Kama ni mfuatiliaji wa magazeti utaona kuna tofauti kubwa ya kisera katika gazeti hilo na imetokea baada ya Kubenea kulinunua. Kubenea ana ugomvi na Chadema nafikiri unakumbuka yeye na Anthony Kommu walipanga kumdhuru Mbowe na habari ikavuja,hivyo hilo bifu bado lipo sana na Kubenea yupo ACT WAZALENDO.Aisee. Hiyo ni habari mpya kwangu!!
Hili gazeti ndo liliandika makala kuwa kuna uwezekano JPM akawa Rais kabla hata ya CCM kupitisha jina. Labda kama siku hizi wamebadilikaGazeti la kufungia mihogo hili ,japo simkubali Tundu ila hawa raia mwema wa hovyo sana
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimwengu ni sukuma gang?Hilo gazeti linamililiwa na sukuma Gang unafikiri litaandika kitu gani kama siyo pumba tupu?sukuma Gang nyie ni maiti zinazotembea
Hivi unajua unaongea nini? CCM ina tonge mdomoni na inajitahidi lisiiponyoke. Kwa tunaopenda mabadiliko, katiba mpya itainyang'anya CCM donge hilo, ili ligawanywe kwa kila mtanzania. Hivyo tunategemea Chadema itusaidie kupambana. Kumbuka takwa kuu la Katiba mpya ni kupunguza madaraka ya Rais = TindoKatiba ni takwa la watanzania wengi tu na siyo CHADEMA peke yao ila CCM ndiyo hawataki Katiba mpya. Halafu mbona hatuoni CHADEMA ikiungwa mkono inapopigania Katiba mpya ila kila siku inalaumiwa kwamba yenyewe ndiyo inayosababisha Katiba mpya isipatikane??
Kweli, tukianza stori za magufuli chumbani nyumban jioni kipindi hicho ujue hata nimyonye hakisimamiiHata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande utamsingizia Magufuli