Raia Mwema: Tundu Lissu atoswa rasmi

Raia Mwema: Tundu Lissu atoswa rasmi

Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lissu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.

Tundu Lissu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.

Uhuru wa Habari Raia Mwema wanataka kupiga pesa za mauzo za Sukuma Gang😅😅

Kalagha bahooo!!
 
Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lissu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.

Tundu Lissu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.

Gazeti la Raia Mwema ni gazeti rasmi la Chadema!
 
Nimecheka sana !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lissu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.

Tundu Lissu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.

Wajinga,mapunguani,wapumbavu, vilema wa akili hawawezi kumuelewa Lisu.
Hilo jarida waandishi wana mtindio wa ubongo pamoja na wahariri wake
 
Lissu ameingia Mkoani Singida jana alikuwa pale Manyoni Lissu anaongea yaliyomo mioyoni mwa Watanzania wengi.

Pale Manyoni amewaambia Wananchi jinsi Kodi yao inavyoporwa akawaambia Mapolisi jinsi mfuko wao wa kufa na kuzikana ulivyoporwa, akawaambia jinsi fedha za kuwahamisha Wamasai ziilivyoporwa.

Leo nayo naitega radio yangu pale Ikungi.
 
Hata mimi sikumuelewa Lisu alipoanza kutofautiana na msimamo wa viongozi wenzake.
 
Ni sahihi kweli kupewa ubunge wa mezani? Maana hoja ya Lissu anakataa kupewa ubunge wa mezani maana hautawasaidia wananchi
 
Kupoteza muda kwa mambo yasiyo halisia ni kujitoa ufahamu.

Lisu ametoswa na nani?

Lisu ametoswa katika nini?

Kama ametoswa, hiyo mikutano anayoifanya anaifanya kwa umbrela ya chama gani?

Kati ya tasnia iliyokosa watu wenye weledi, ya kwanza ni tasnia ya habari. Wamebakia kama wambea wa mitaani. Wanashindwa kufuatilia mambo ya maana kama report ya CAG, wanabakia kuokoteza umbea. Analysis hakuna, reasoning zero, weledi hakuna. Ndiyo maana watu wakitaka kupata habari za uhakika, wanatafuta BBC, Aljezira, CNN, wakati jambo limetokea Tanzania.
Hili gazeti mbona zamani lilikuwa linaaminika sana. Kina Jenerali Ulimwengu hawamiliki tena? Waliliuza nini? Naona habari zake ni kama gazeti la Uhuru.
 
Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lissu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.

Tundu Lissu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.

Wataendelea kuvurugana wao kwa wao lakini sisi watanzania tunajua tuko na Mama hadi 2030
 
Back
Top Bottom