Raia Mwema: CHADEMA iache kujidanganya

Raia Mwema: CHADEMA iache kujidanganya

too bad in deed if that is where elastic point of ur thinkin capacity has reached its end..

If you can not fight against them join them. Do not underestamate their strength. Its very painful and very, very better but no way out to run away from it!!!
 
Na nani aliyekudanganya wananchi wanaipenda chadema? wanaoipenda chadema ni wafuasi wachache wanaifata kwa ukabila na udini wao.

are you living in delusion or denial?
 
people need leaders not party. all politicians have to know this. as ccm was chadema is and as ccm is chadema can be. simple logic
 
Na nani aliyekudanganya wananchi wanaipenda chadema? wanaoipenda chadema ni wafuasi wachache wanaifata kwa ukabila na udini wao.

acha utahira wewe, mbona hio nyimbo ilishatupwa kapuni, acha mawazo mgando, kwani watu wenye mawazo kama yenu ndo wadini, wakabila na wabinafsi. uwe na akili ya kuchuza wazo kabla hujalitamka
 
Huyo ni mwandishi, mtafiti au mtabiri? Je alikuwa anaishi wapi ktk miaka hii ya utawala wa giza wa ccm? Maoni au ushauri wake kwa ccm yalikuwa ni yapi muda wote huo?

Sio kwamba tunapenda kusikia tunayoyataka, au kwamba CDM ni perfect sana. Hapana. CDM ndio kwanza inamea, bado hatujaona itakavyokuwa (stature growth) yake sasa huu uchuro unatoka wapi?

Ok kama anadhani ccm ina wapenzi/wanachama wengi ajiulize hivi; enzi za chama kimoja ilikuwa ni shurti kuwa mwanachama wa ccm. Leo hii wao ccm wanasema (wakijisifu) kuwa wana wanachama milioni tano nchi nzima. Ktk miaka ya uhai wa ccm (miaka 36 peke yake) ina maana kama ingekuwa inapendwa, kama anavyotaka kutuaminisha Mwananzela, basi ccm ingekuwa na wanachama zaidi ya maradufu ya idadi yao. So ccm haikuwahi kupendwa kihivyo nchi nzima....ni dhana ya kusadikika tu.

Kwa mwendo huu wa CDM (opersheni Sangara, M4C nk) inawezekana kabisa kufikia mwakani, 2014, CDM itakuwa na zaidi ya wanachama 5m nchi nzima. Moja ya sababu ni kuwa kuna pool kubwa ya watu ambao hawajawahi kuwa wanachama wa chama cha siasa na hasa vijana, ambao wamezipenda sera, mwenendo na msimamo wa CDM na ambao hawatasimama wala kuyumba popote mpaka wahakikishe CDM imeshika dola ili waweze kutimiza ahadi na sera zao. Hapo ndipo mwandishi angepaswa kuanzia kulinganisha na kuonya NK NK
 
day dreamer..!
Keep on dreaming
dream is ur right,no one will come to take your dream away from you
you pronauncio correctomente..!
 
Nilifanya utafiti usio rasmi kati ya tarehe 18 April -24 April 2012 ktk miji ya Mwanza na Tabora. Matokeo ni kuwa kati ya watu 10 watano ni CDM (aidha ni wapenzi, wanachama au wanaunga mkono sera & matendo ya CDM). 3 walisema wao ni ccm na waliobaki hawakupenda kuweka bayana itikadi zao/au uanachama wao. Nasisitiza sio qualitative research.

Kuna kosa moja zuri nililoliona ambalo watu wanalifanya; kuilinganisha CDM (ktk dhana ya kuwa kinatawala) na CCM (ccm iliyo na dola/serikali tunavyozungumza). Maana yake watu wameshindwa kabisa kuona tofauti kati ya mambo hayo mawili. Wengi wanatamani na kusbiri wafanye mabadiliko kwenye sanduku la kura.
 
Wewe Lulu unamjulisha nani utumbo huo? Unamtahadharisha nani? Mla ni mla leo, mla jana kala nini? Kila zama na kitabu chake na la kuvunda halina ubani! Ccm bye bye, 2015 itapewa likizo ya kudumu! Nayo Chadema hali kadharika ukifika wakati wake itawekwa pembeni na mwingine kushika sukani. Hatutaki mtawala wa milele sisi.

Hapo umesema vyema. Uhai na afya ya nchi ni kupokezana vijiti. Sio unakimbia na kijiti wewe yule miaka 50! hadi unakuwa mchovu wa kutupwa.
 
Naamini Chadema haina wanachama na wapenzi kwa kuwa kimbilio pekee bali kwa kazi kubwa wanayo fanya viongozi wake .Mbona watanzania hao wasiende KAFU au NCCR au UDP ? Amkeni zidini kujipanga Chadema ndiyo mbadala wa CCM
 
Mara zote nimekua nabeza falsafa ya chadema ya nguvu ya umma,chadema wajue baada ya kuchukua madaraka nguvu ya umma hujitenga na watawala! hoja ya raia ina uzito mkubwa sana
 
Mara zote nimekua nabeza falsafa ya chadema ya nguvu ya umma,chadema wajue baada ya kuchukua madaraka nguvu ya umma hujitenga na watawala! hoja ya raia ina uzito mkubwa sana

umenena mkuu
 
"CHADEMA isichezee wala kuchukulia kiurahisi wakati wake huu wa kupendwa na wananchi. Isije kujidanganya kuwa itaendelea kupendwa vyovyote vile. Viongozi wake wasije kujivika kilemba cha ukoka wakiamini kuwa wanapendwa kwa sababu wao ni vijana, wanazungumza vizuri, wanavaa magwanda vizuri n.k.

Wajue kabisa wanapendwa kwa sababu watu wameamua kuikataa CCM “na mambo yake yote”. CHADEMA hawawezi kudai kuwa ni haki yao kupendwa au kuungwa mkono kwani historia ina mafunzo mazuri kweli – si hoja mtawala anapendwa vipi, siku moja anaweza kuchukiwa. " Gazeti Raia Mwema ikiandikwa na LULU WA NDALI MWANANZELA

Mkuu

Chadema has never and 'll never take (every) things for granted. Concern noted. Ni vyema kushauri kushauri, kukosoa na kuwaandaa viongozi wajao. Umefika. Asante.
 
Na suala kubwa si kupendwa au kutopendwa, hayo mawili hupita na kutoweka haraka sana. Suala kubwa ni mustakabali wa nchi, heshima yake ndani na nje, hali ya maisha ya watu, huduma muhimu kupatikana, elimu ya kutuvusha na kuweka katika ushindani na wengine na hasa katika jumuiya ya afrika mashariki ambapo vijana wetu wanakosa hata kazi ya kufangia chini na kupokea wageni, ajira kwa makundi yote ya jamii na hasa yenye kipato cha chini, uwezo wa kaya kujilisha na kujisimamia, kuweka mazingira bora ya uzalishaji, kuinua uchumi na thamani ya fedha...na by the way umeme umepanda tena?? sasa 10,000 unapata units 19 badala ya 35!

Kazi ya chama chochote cha siasa ni kuhakikisha kinaweka bayana mambo haya, kuhakikisha viongozi na wawakilishi wake wanazijua na wanaweza kusimamia na kutetea mambo haya ambayo ndiyo msingi na uhalali wa kutawala...na kukabiliana na changamoto za utawala bila woga, unafiki au uiungufu usio na sababu.

Kwa hiyo tunapoona matamanio ya wananchi katika chama fulani tujiulize uwezo wake kukabiliana na mambo makuu yanayogusa maisha ya watu na katika hili viongozi wa CDM wameonesha njia na nia ya kutaka kushughulikia kero za wananchi...mwitikio umeonekana, sasa kazi ni kuendeleza juhudi hizi, kuimarisha misingi hii na kuhakikisha haommomonyoki...

Kihistoria pia nchi zote ulimwenguni zimekuwa na uzazi wa pili, kama ule wa kiimani cha dini na wa uanzishaji wa mashirika yote tunayoyaona - ambamo waanzilishi hufika mahali wakapoteza nia ya mwanzo ya kuanzisha shirika au taasisi...inapotokea wafuasi wa baadae huchukua mkondo na kuendeleza yale yale yaliyaonzishwa na wenzao na kuletea shirika kuendelea kufanya kazi...tumeona hivyo katika jumuiaya ya afrika mashariki ambamo waanzilishi walifika mahalai wakashindwa kuendelea kusimamia misingi ya jumuiya waliyoianzisha...waliopfuata wakafufua na leo tuna jumuiya - hata kama Tz bado haifaidiki ya kutosha na uwepo wa jumuiya hii kiuchumi...hili ni la kufanyia kazi - kwa kuwa jumuiya ipo...na kujua jinsi gani itufaidisha ni jambo jingine na hivyo katika mambo mengi...ikiwa ni pamoja na rasilimali zetu nyingi ambazo bado hazijaleta tija kwa wananchi wengi...

Mambo haya muhimu kwa kukua kwa nchi, kwa utambulisho wa kitaifa na kwa kile tunachkiita " maadili ya taifa" au "national ethos" nikitumia maneno ya mhe Jenerali Ulimwengu...TUKITAKA TANZANIA YENYE NEEMA TUNAWEZA. tuwakubali wanaoonesha njia maana ndio njia pekee ya kutuvusha na kutufikisha.Tuwaamini, tuwape nafasi, Tuwaombee, tuwalee, hatutajuta!!! Milele Amina.
 
Kwa maana hiyo, mwisho wa kuchukiwa CCM ndio pia mwisho wa kupendwa Chadema au? Naomba ufafanuzi.
mtoa hoja katahadharisha,,,,wtz wengi ni watu wa fassion na matukio ya msimu,,ni juu yua mikakati ya kukabili hilo,,,,
 
Na nani aliyekudanganya wananchi wanaipenda chadema? wanaoipenda chadema ni wafuasi wachache wanaifata kwa ukabila na udini wao.

kuna mnyama jina likitamkwa linamaliziwa na koko,,basi atakuwa ndyo weye,,,
 
Sijui huyo mwandishi alikuwa anataka kutuambia nini..ila ukweli kuwa watanzania wamechoka na CCM na hasa vijana...
 
Huyo ni mwandishi, mtafiti au mtabiri? Je alikuwa anaishi wapi ktk miaka hii ya utawala wa giza wa ccm? Maoni au ushauri wake kwa ccm yalikuwa ni yapi muda wote huo?

Sio kwamba tunapenda kusikia tunayoyataka, au kwamba CDM ni perfect sana. Hapana. CDM ndio kwanza inamea, bado hatujaona itakavyokuwa (stature growth) yake sasa huu uchuro unatoka wapi?

Ok kama anadhani ccm ina wapenzi/wanachama wengi ajiulize hivi; enzi za chama kimoja ilikuwa ni shurti kuwa mwanachama wa ccm. Leo hii wao ccm wanasema (wakijisifu) kuwa wana wanachama milioni tano nchi nzima. Ktk miaka ya uhai wa ccm (miaka 36 peke yake) ina maana kama ingekuwa inapendwa, kama anavyotaka kutuaminisha Mwananzela, basi ccm ingekuwa na wanachama zaidi ya maradufu ya idadi yao. So ccm haikuwahi kupendwa kihivyo nchi nzima....ni dhana ya kusadikika tu.

Kwa mwendo huu wa CDM (opersheni Sangara, M4C nk) inawezekana kabisa kufikia mwakani, 2014, CDM itakuwa na zaidi ya wanachama 5m nchi nzima. Moja ya sababu ni kuwa kuna pool kubwa ya watu ambao hawajawahi kuwa wanachama wa chama cha siasa na hasa vijana, ambao wamezipenda sera, mwenendo na msimamo wa CDM na ambao hawatasimama wala kuyumba popote mpaka wahakikishe CDM imeshika dola ili waweze kutimiza ahadi na sera zao. Hapo ndipo mwandishi angepaswa kuanzia kulinganisha na kuonya NK NK

Mkuu ungekuwa unamjua huyo muandishi wala usingeandika yote tunaye humu tena ni mtu muhimu sana JF mnayemkubali sana Pro-Chadema.
 
Mkuu kwamba wananchi wanaipenda CDM kwa sababu ya sera zake wakati mwingine ni kujilisha upepo na kujidanganya bure! To be frank, hivi ni wananchi (I mean the real wananchi) wangapi wanaozifahamu sera za Chadema kwa kina? Jibu ni wachache mno na hicho ndicho anachoonya Mwandishi wa Raia Mwema kwamba CHADEMA wajitahidi kueneza sera zao hadi kwa mwananchi wa chini kwamba sera zikishawaingia vilivyo wananchi na wakazipenda then haitakuwa rahisi kuhama chama endapo upepo utabailika huko mbeleni. Mwandishi anatoa ushauri mzuri sana wa kukisaidia CHADEMA.

Hivi, niulize hivi sera za CDM zinapatikana wapi? Mimi binafsi sijui. Pamoja na maandamano na mikutano vijarida mbali mbali vyenye sera za chama viandaliwe, kusambazwa, na kufafanuliwa kwa wananchi na ufafanuzi huu utafanikiwa zaidi endapo chama kitakuwa na vyombo vyake vya habari - radio na TV. Lakini cha ajabu chama kinaonekana kama kimelala juu ya hili. Huu ni ushauri mzuri sana kwa wanaoona mbali.

Wananchi wangapi wanafahamau sera za CCM? Na zinapatikana wapi? Mbona mie sizijui. Au ndio ujamaa na kujitegemea au ufisadi, ubinafsishaji, ubadhirifu, kulindana, kuchakachuana, kuvuana magamba, kukatana mapanga na giza tororo?
 
thinking capacity ya form four failure
people who are smart doesnt think in this way
the only liberation for our beautiful tanzania is KATIBA BORA N IMARA
NA WALA SIO KELELE ZA SLAA NA MBOWE DHIDI YA UFISADI WA CCM NA UOZO WAO
MBONA WANAPOGA KELELE TUH,NJIA MBADALA ZA KUBADILISHA HALI HALIZI MBONA HAWATOI KWENYE KAMPEN ZAO?AU WEWE HUENDI KUSKILIZA WANAPONAFI SERA ZAO?
Naona unaongea kwa jazba sana ila hazibadilishi hali halisi iliyopo chadema katika utaratibu wa kupata viongoz wao hasa hasa waandamiz wa chama,kilichojificha mioyon mwao ni kikubwa sana
tuna iman nao ila sio kwa kias cha kuwapa nchi hii kirahis ivo,bora hawa mafisadi tunajua tutatumia njia ya kura kuwaadhibu,na kuwaonesha chuki yetu waz waz,hao tusiowajua ya kwao yaliyofichika tunajiandaa nao vip?
Wafuasi wa ccm kwa kias kikubwa ndio wanaowapa nguvu chadema,madudu ya ccm wanayoyafanya yakiondoka chadema wakacheze segere
tanzanians we r not such dumb..!!

Stk one amemaliza kila kitu sema tu we una upungufu wa kufikiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom