Raia Mwema: CHADEMA iache kujidanganya

CC CDM tupo makini ila CCM ndiyo iache kujidanganya kwani wanachama wao wengi bandia. Wakwao wetu wakwetu wetu.Watuzi Nguvu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
eti mpendazoe juzi juzi hapa alikua mbunge wa magamba kishapu,yamemshinda yaliyomshinda huko,katapa tapa na uasisi wa ccj ulivomshinda chadema ikamuona mtu safi kutuletea watu wa tabata awe mwakilishi wetu..!
What a shame..!huyu mtu alikua kwa hao mnaowaita mafisadi kesho unakuja kumndai mbele yetu
chademaaa>>vemaaaaaa..!
Peoples>>>poweeeeeeer
mpendazoe mtu safi mpeni kura..!
Then useme ni chama imara,,kweli??
U cant be serious mbowe..!
Wewe pako ni club bilicanas tuh
state house sahau...!
We are smarter than that,,chadema needs more time to be competent...

Too wordy=nothing you talk think thrice.Over
 
Mara zote nimekua nabeza falsafa ya chadema ya nguvu ya umma,chadema wajue baada ya kuchukua madaraka nguvu ya umma hujitenga na watawala! hoja ya raia ina uzito mkubwa sana

Nadhani hujaielewa vizuri nini maana ya nguvu ya umma.....ukishasema Chama cha Demokrasia na maendeleo.....neno demokrasia limetokana na maneno mawili "demo" na "cratus" unajua maana yake?
Pia soma ibara ya 8 yote ya katiba yetu....I think you will no longer be doubtful!
 
well said
tatzo kenge wanaofuata mkumbo hawataki
tundu lisu ana dada yake mule amepewa kimagumash magumash,hatukatai mbunge kua na nduguye mbunge la hasha,Khakha uko wapi kila mmea una mizizi yake kama huana mizizi ni mfu na uongoz haingalii undugu unaangalia uwezo kwamfano CCM mizizi yake iliikua Musoma na taarifa tunazo huwakuzungumzia undugu na tumeishi nao kwa miaka hamsini sasa...
 
aisee kumbe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom