Benaire
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,962
- 312
Kwanza napenda kuwapongeza watanzania kwa kuwa watu wa kuyumbishwa na upepo....kwa sababu akijitokeza mtu akaeleza kile anachoamini nasi bila hata kujiuliza tunasadiki....hapa inahitajika qualitative research.
Pili uongozi hauna experience,ukisikia mtu anasema experience ujue ni uzoefu wa kufanya uozo bila wananchi wengi kujua.
Mwisho watanzania wanapenda mabadiliko na CHADEMA wameonekana kusimamia mabadiliko na wameji"differentiate" na kuji"position" kama chama cha wananchi....hivyo wananchi wanachukulia kama ni ground up!
Napenda kutoa rai kwa wanaodai CHADEMA ni chama cha ukanda..CDM imeshika hatamu mwanza,musoma,bariadi na maswa (lake zone)...mbeya,mbozi na iringa (nyanda za juu kusini)...arusha,arumeru,moshi (kanda ya kaskazini),singida mashariki (kanda ya kati)...ubungo na kawe (kanda ya mashariki) kigoma kaskazini (kanda ya magharibi)....CHADEMA kina wanachama wapagani,waabudu mizimu,waislamu na wakristo...sasa ukanda na udini ni kile mtu alichochagua kuona...ni kama kila mtu nimuulize anaona nini JF?