FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Si huo uliouficha kwa ndukum?
Ni heri ya mie niliouficha kuliko wewe uliouacha wazi, ng'ang'anaaaa!
Nzi hawakusumbui?
Si huo uliouficha kwa ndukum?
Taratibu role model langu mgombea urais huyo au na wewe umejiunga kwenye teams?
Hicho kwenye red si nasikia ndo mnatumiaga nyie kusikia? Ndo maana mnabong'oa ili kujua ndukum ya mbele yako inaujumbe gani sio?
Ni heri ya mie niliouficha kuliko wewe uliouacha wazi, ng'ang'anaaaa!
Nzi hawakusumbui?
Hivi haya ndiyo mafundisho ya Allah wako?
Mie sina team, CCM hata akiwekwa mwanasesere ndiye atakuwa Rais.
Haikuwa Nyerere kwa miaka 27 na akaiuwa nchi mpaka ikawa masikini wa mwisho duniani itakuwa Lowassa? ambae hata hatujuwi kama atafika wakati wa kugombea Urais!
Zimeanza kukushinda wewe uliyeanza kurusha maneno ya kishenzi...
Tuendelee si unayataka? Mbona povu??
Jee, una lipi jipya zaidi ya niliyokujibu?
Ulilianzisha nikakumaliza, sasa una haha kama nani vile? usijifanye umesahau.
Au unasikia kwa ndukum?
Tulipokuwa tunasema 5 years ago mlikuwa mnakataa leo kabakisha miezi mitatu mnaanza kukubali, poleni.Kwa hakika Kikwete kafanya kugombea Urais ni kitu rahisi sana.
Lowasa ni sehemu ya matatizo ya nchi hii hivyo kumchagua ni kutia chumvi kwenye kidonda.
Kama humjui FaizaFoxy matusi ndiyo chakula yake, unapojadili naye jiandae kwa matusi mengine ya nguoni.Huwa nafaham kuwa mara nyingi huwa unakwazika na kukasirika Sijawahi kukutarajia kwamba unaweza Ku panic na kuishia kutoa lugha kama hii.
Lowassa hakujiuzuru urais kwasabau ya "Tatizo ni Uwazri Mkuu" Hiyo ilikuwa ni light statementya kuonesha hasira zake kwa Mwakyembe na Sitta.
Lakini Lowassa alijiuzuru uwaziri Mkuu kuiepusha serikali ya Kikwete isianguke, i.e. alifanya hivyo kumuhifadhi rafiki yake ambaye hawakukutana barabarani.
Kinachomuuzi na kumuumiza sana Lowassa ni pale rafiki yake huyo ambaye hawakukutana barabarani kumtosa. Kwanza amekiuka makubaliano yao ya Boyz II men ya kuachiana ufalme.
Lakini hata pale Lowassa alipokuwa mbuzi wa kafara kumuhifadhi rafiki yake, serikali yake isianguke bado rafiki yake huyo ameonekana kutupilia mbali makubaliano yao ya Boyz II men.
Ndipo Lowassa sasa amesema ENOUGH IS ENOUGH. It is me or CCM loose the next general election. Hali hii huwa waingereza wanasema it is a catch 22 to CCM and JK
Kamati kuu ya CCM
1. JK Kikwete
2. Dr Sheni
3. Philip Mangula
4. Mizengo Linda
5. Seif Ali Iddi
6. Anna Makinda
7. Pandu Kificho
8. Vuai Ali Vuai
9. Combred Kinana
10. Nape Mnauye
11. Mohammed Seif Khatibu
12. Zakhia Mechi
13. Asha Rose Migiro
14. Sophia Simba
15. Sadipha Abdallah
16, Jenister Mhagama
17. William Lukuvi
18. Steven Wasira
19. Emmanuel Mchimbi
20. Pindi Mchana
21. Jerry Slaa
22. Adam Kimbisa
23. Vuai Nahodha
24. Hussein Mwinyi
25. Maua Daftari
26. Samia Suluhu
27. Salimu Ahmed Salim
28. Makame Mbarawa
Hiyo ndio List ya kamati kuu ya CCM. Je nani mwenye ujasiri wa kumpitisha Lowassa kugombea urais, kati ya hapo nani yupo tayari kuwasaliti Watanzania?
Tuachane na Mafisadi. Tanzania kwanza
cc Pasco Ritz FaizaFoxy ocampo four Lizaboni n.k
Kwa hakika Kikwete kafanya kugombea Urais ni kitu rahisi sana.
Hiyo ndiyo demokrasia at its best ya Kikwete.
Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae hajawa "remote controlled" na Nyerere.
Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae aligombea Urais kwenye kinyang'anyiro cha CCM na kushindwa kwa mara ya kwanza kwa majungu tu. Ya nani?
Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae ana CV iliyonyooka na ndefu (kabla ya kuwa Rais) kuliko Marais wote wa Tanzania wa kabla yake.
Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae hajaburuzwa na yeyote katika utawala wake.
Religiosity
Not
Balanced
Huwa sikisii!
Jaribu uwezavyo hutaweza kuifikia rikodi adhyim ya Kikwete, waunganishe wote wa kabla yake kahafu niambie:
Walijenga shule ngapi (wote kwa pamoja)?
Walijenga vyuo vikuu vingapi (wote kwa pamoja)?
Walijenga zahanati ngapi (wote kwa pamoja)?
Walijenga barabara za lami kilomita ngapi (wote kwa pamoja)?
Tuanze na hayo kabla sijaja na ya utalii na mengineyo.
Pssssss! Usisahau kujumlisha na mkoloni wao.
Sijawahi kuona makala ya kikanjanja kama hii.
Problem ya raia mwema ni mtiririko wa makala negative dhidi ya
ya lowassa tangu mwaka jana, so hapa hakuna jipya.