DN,
Umenichefua!
Uamuzi wa Lowassa kujiuzulu Uwaziri Mkuu kutokana na kuhusishwa kwake na kuingilia mchakato wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond kinyume cha sheria kumeacha ladha chungu kwenye ndimi za wapenzi na mashabiki wake ndani ya CCM (bungeni na nje ya Bunge). Lowassa kwa maoni ya baadhi ya watu hakupaswa kujiuzulu Uwaziri Mkuu kwani angeweza kutumia nafasi aliyopewa na Spika Samuel Sitta kujibu hoja kwa hoja madai yaliyotolewa na Kamati Teule ya Bunge. Hakufan
HATA MWINYI ALIJIUZURU halafu akaja kuwa rais