Raia Mwema: CCM Haijui Ifanye nini na Lowassa

Raia Mwema: CCM Haijui Ifanye nini na Lowassa

Generali Ulimwengu, tunajua msimamo wake, na ni team ya nani..sina haja ya kumwongelea...

Lowassa wa leo alipelekwa kwa Pilato ( JK wa leo ) na wafilisti kwa hasira na kelele, wanaipaaza sauti juu, asulubiwe, asulubiwe...Pilato akasema, mm sioni hatia ya mtu huyu...hana kosa...!!!

Naamini, JK ndilo linalomuuma moyoni, anajua fika, kwa damu na jasho, Lowassa hana hatia, na amempiga tafu kuliko mwana CCM yeyote, hili linamuuma sana JK, na katoa kauli ya wazi, kuwa CCM iache kudhania ikimchagua mgombea atakuwa Rais, hizo nyakati zimepitwa na wakati...lazima CCM imchague mtu anaeuzika ndani na nje ya CCM...na lazima CCM ikubali nyakati zimebadilika...!!!

Hii kauli ni shangwe kwa team Lowassa...inaonyesha JK kasoma upepo wa Lowassa ni mkubwa kuliko kawaida, na moyoni kabisa ndani kwake JK anaona Lowassa hana HATIA...so kuliko CCM ife, heri Lowassa apewe tiketi ya CCM kugombea Urais...!!! ana nguvu kubwa sana...

Na ukifuatilia matukio ya hivi karibuni, baada ya Lowassa kuweka wazi hatoki CCM, yeye ni kada mwaminifu tokea 1977, UKAWA wameyumba sana, na kuanza kutoa matamko ya UOGA NA MARUERUE, KUWEWESEKA, NA KUSEMA CJUI NN na NN...sbb WALITEGEMEA LOWASSA ATOKE CCM aende kwao UKAWA...sasa ngoma imebuma...!!!

So far, the CCM ball is 75% on Lowassa's side... i bet, mtaona NEC itakavyomchagua kwa nguvu ya AJABU...tuwe na subira, tusiandikie mate, wino upo
 
Lowassa ndiye mgombea mwenye ufuasi na uwezo wa kitawala zaidi kati ya wagombea wengi wa CCM wasiyo kuwa na sifa hata za ukuu wa wilaya.

Kuna watu huko CCM wamekonda baada ya huyu jamaa kuongea na Wahariri wiki iliyopita. Wanahangaika kama wehu huyu jamaa hasiwe mgombea wa CCM!
 
Kamati kuu ya CCM
1. JK Kikwete
2. Dr Sheni
3. Philip Mangula
4. Mizengo Linda
5. Seif Ali Iddi
6. Anna Makinda
7. Pandu Kificho
8. Vuai Ali Vuai
9. Combred Kinana
10. Nape Mnauye
11. Mohammed Seif Khatibu
12. Zakhia Mechi
13. Asha Rose Migiro
14. Sophia Simba
15. Sadipha Abdallah
16, Jenister Mhagama
17. William Lukuvi
18. Steven Wasira
19. Emmanuel Mchimbi
20. Pindi Mchana
21. Jerry Slaa
22. Adam Kimbisa
23. Vuai Nahodha
24. Hussein Mwinyi
25. Maua Daftari
26. Samia Suluhu
27. Salimu Ahmed Salim
28. Makame Mbarawa

Hiyo ndio List ya kamati kuu ya CCM. Je nani mwenye ujasiri wa kumpitisha Lowassa kugombea urais, kati ya hapo nani yupo tayari kuwasaliti Watanzania?
Tuachane na Mafisadi. Tanzania kwanza

cc Pasco Ritz FaizaFoxy ocampo four Lizaboni n.k
Kwa team hii Bomu limeshapasuka .....wanatapatapa.....wako ndani......wimbo mzuri sana Radio Tanzania enzi hizo RTD
 
Kichovu hiki sijui kinawaza nini ona maneno yake hapa...chini

So far, the CCM ball is 75% on Lowassa's side... i bet, mtaona NEC itakavyomchagua kwa nguvu ya AJABU...tuwe na subira, tusiandikie mate, wino upo

Aksante Remote kwa kutuletea Majina ya WANEC wa CCM.Wenye macho waone.

Kamati kuu ya CCM
1. JK Kikwete
2. Dr Sheni
3. Philip Mangula
4. Mizengo Linda
5. Seif Ali Iddi
6. Anna Makinda
7. Pandu Kificho
8. Vuai Ali Vuai
9. Combred Kinana
10. Nape Mnauye
11. Mohammed Seif Khatibu
12. Zakhia Mechi
13. Asha Rose Migiro
14. Sophia Simba
15. Sadipha Abdallah
16, Jenister Mhagama
17. William Lukuvi
18. Steven Wasira
19. Emmanuel Mchimbi
20. Pindi Mchana
21. Jerry Slaa
22. Adam Kimbisa
23. Vuai Nahodha
24. Hussein Mwinyi
25. Maua Daftari
26. Samia Suluhu
27. Salimu Ahmed Salim
28. Makame Mbarawa

Hiyo ndio List ya kamati kuu ya CCM. Je nani mwenye ujasiri wa kumpitisha Lowassa kugombea urais, kati ya hapo nani yupo tayari kuwasaliti Watanzania?
Tuachane na Mafisadi. Tanzania kwanza

cc Pasco Ritz FaizaFoxy ocampo four Lizaboni n.k
 
Lowasa ni sehemu ya matatizo ya nchi hii hivyo kumchagua ni kutia chumvi kwenye kidonda.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Lowasa kaondoka tangu lini serikalini? Je toka ameondoka ni lipi jema limefanywa na aliowaacha zaidi ya wizi wa escrow na wizi kibao wa pesa za umma kama ripoti ya CAG ilivyoonyesha? Dhaifu ndiye tatizo la nchi hii, wengine ni kuwaonea tu.
 
i see u follow me, back tracking, trying to EQUATE urself to me....!!!

Ur too low, very illeterate, with unknown leadership background and policies, selling ur GONGO DRINKER MAKONGORO...who is unmarketable to VOTERS at all...mkitegemea jina la Mwalimu Nyerere limbebe, ebo...that is childish, kiddish, babish political mind, weakness, and outdated mind...watu hawaangalii majina siku hizi...!!!

Lowassa will win BIG.....!!! You go back to class, to learn ENGLISH PHRASEOLOGY...coz u know nothing...u learned copying & pasting, u thought u acquired knowledge to urge with me...!!!

Wait you will see the Powers of Voters once the whistle is blown...!!!

Your teams are NOT PREPARED...alafu unataka ushindi huku JF au ktk vikao...Ushindi wa Urais sio blah blah, ni kujipanga haswa, with strong grassroots campaign and organisers...

Nyie mnakurupuka kama kuku katoka kutaga...NATAKA URAIS...NATAKA URAIS....mtabaki kuusikia tu...!!!

I bet, coz i will feel stupid and low, to argue with you, LOWASSA will win big...!!!

Kwani ulitaka kila mtu awe uliko wewe ...ndio maana kuna RED au BLUE au GREEN.

Kweli Punguani hayawani wewe..mimi na declare interest ni mkristu ...kwa mara ya kwanza natumia maneno makali kukwambia wewe wa wapi wewee umekula maharage ya wapi weweee!!!!Yesu uwa alinganishwi na Mwanadamu yeyote hata Obama na ubwana mkubwa wake kwa Dunia hawezi kamwe kuwa na japo kijincha cha kufanywa mfano wa YESU.Ovyooo wewe laana mkubwa weeeweee.Tena ukomeee weeeee...

Kaa kushoto mara mmwagie mitusi kuwa legelege mara mjipendekeze kwake...imekula kwenu...atawakangaa tu..jiandaeni na JAKAMOYO.

Ka katoto kanajipa matumaini kinalalama ovyoooo...

Kimekwisha anza kutoka jasho kwenye meno...kinajiongelesha na kujijibu chenyewe...
 
Tatizo sio lowassa, tatizo ni sisi wapiga kura.

Huyu Lowassa is definitely one of those types who believe he could get away with anything by virtue of his pretty face, and good looks alone.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Waandishi Makanjanja wanajifanya hawajui ukweli kuwa Richmond LLC ililetwa na akini Membe ... Lowassa hazuiliki na itoshe kusema siyo kuwa CCM haijui imfanye nini Lowassa bali ni Baadhi ya Mafisadi wamepigika hawajui watafanya nini Lowassa anaingia Ikulu huku wanajua fika kuwa walipika majungu dhidi yake .... wanahofia visasi visivyokoma ...
 
Mwanakijiji wewe ni Team Membe msimamo wako uko wazi unajulikana kuwa Vatican ndo Muhimu kuliko maendeleo ya nchi ...
Kwa CCM Lowassa ni mtu wa kutatiza; wakimkubali wataonekana wamemuogopa wakimkata wataonekana wanamuonea...
 
Generali Ulimwengu, tunajua msimamo wake, na ni team ya nani..sina haja ya kumwongelea...

Yesu ( Lowassa wa leo) alipelekwa kwa Pilato ( JK wa leo ) na wafilisti kwa hasira na kelele, wanaipaaza sauti juu, asulubiwe, asulubiwe...Pilato akasema, mm sioni hatia ya mtu huyu...hana kosa...!!!

Naamini, JK ndilo linalomuuma moyoni, anajua fika, kwa damu na jasho, Lowassa hana hatia, na amempiga tafu kuliko mwana CCM yeyote, hili linamuuma sana JK, na katoa kauli ya wazi, kuwa CCM iache kudhania ikimchagua mgombea atakuwa Rais, hizo nyakati zimepitwa na wakati...lazima CCM imchague mtu anaeuzika ndani na nje ya CCM...na lazima CCM ikubali nyakati zimebadilika...!!!

Hii kauli ni shangwe kwa team Lowassa...inaonyesha JK kasoma upepo wa Lowassa ni mkubwa kuliko kawaida, na moyoni kabisa ndani kwake JK anaona Lowassa hana HATIA...so kuliko CCM ife, heri Lowassa apewe tiketi ya CCM kugombea Urais...!!! ana nguvu kubwa sana...

Na ukifuatilia matukio ya hivi karibuni, baada ya Lowassa kuweka wazi hatoki CCM, yeye ni kada mwaminifu tokea 1977, UKAWA wameyumba sana, na kuanza kutoa matamko ya UOGA NA MARUERUE, KUWEWESEKA, NA KUSEMA CJUI NN na NN...sbb WALITEGEMEA LOWASSA ATOKE CCM aende kwao UKAWA...sasa ngoma imebuma...!!!

So far, the CCM ball is 75% on Lowassa's side... i bet, mtaona NEC itakavyomchagua kwa nguvu ya AJABU...tuwe na subira, tusiandikie mate, wino upo
Kumfananisha mwizi Lowassa na Yesu naomba ifanyike laana kwako na kizazi chako, pamoja na huyo fisadi mnaye muabudu nyie mlioghoshi akili
 
Kumchagua Lowasa CCM watakuwa wanafanya gambling.
 
Hizo za CCM kuwa na wakati mgumu ni porojo za mitaani.

Wakati mgumu kwa sababu za kufikirika?

Wewe kama mwana CCM tangaza kuwa umo kwenye kinyanga'nyiro cha kuwania Urais.

Sijaona kipi ni kigumu.

Mleta mada, kipi ni kigumu kwa CCM? mimi sijakiona.
 
Kwa hakika Kikwete kafanya kugombea Urais ni kitu rahisi sana.

Hiyo ndiyo demokrasia at its best ya Kikwete.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae hajawa "remote controlled" na Nyerere.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae aligombea Urais kwenye kinyang'anyiro cha CCM na kushindwa kwa mara ya kwanza kwa majungu tu. Ya nani?

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae ana CV iliyonyooka na ndefu (kabla ya kuwa Rais) kuliko Marais wote wa Tanzania wa kabla yake.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae hajaburuzwa na yeyote katika utawala wake.
 
Kwa hakika Kikwete kafanya kugombea Urais ni kits rahisi sana.

Hiyo ndiyo demokrasia at its best ya Kikwete.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae Hathaway "remote controlled" na Nyerere.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae aligombea Urais kwenye kinyang'anyiro cha CCM na kushindwa kwa mara ya kwanza kwa majungu tu. Ya nani?

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae ana CV iliyonyoola na ndefu kuliko Marais wote wa Tanzania wa kabla yake.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae hajaburuzwa na yeyote katika utawala wake.

Hapo kwenye red umemtusi tusi kubwa Sana!!!

Ni kweli tangu JK awe rais kila MTU anaamini anaweza kuwa Rais!!!
 
Hapo kwenye red umemtusi tusi kubwa Sana!!!

Ni kweli tangu JK awe rais kila MTU anaamini anaweza kuwa Rais!!!

Unaongea mwenyewe halafu unajijibu mwenyewe kurudia yale yale niliyoyaandika.

Amma kwa hakika kwa majuha kama wewe, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Back
Top Bottom