Raia Mwema: CCM Haijui Ifanye nini na Lowassa

Kwa hakika Kikwete kafanya kugombea Urais ni kitu rahisi sana.

Hiyo ndiyo demokrasia at its best ya Kikwete.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae hajawa "remote controlled" na Nyerere.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae aligombea Urais kwenye kinyang'anyiro cha CCM na kushindwa kwa mara ya kwanza kwa majungu tu. Ya nani?

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae ana CV iliyonyoola na ndefu kuliko Marais wote wa Tanzania wa kabla yake.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae hajaburuzwa na yeyote katika utawala wake.

Kwa mara ya kwanza nimekupa like kwa sababu ni kweli Kikwete amesema mara nyingi kuwa ccm mjiandae ila mmezibwa masikio.
 
Unaongea mwenyewe halafu unajijibu mwenyewe kurudia yale yale niliyoyaandika.

Amma kwa hakika kwa majuha kama wewe, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Umemtusi vibaya Sana kipenzi chako Leo....

Yaani hiyo kauli yako tukiamua kuichambua twaweza jaza kitabu!!!

Yaani JK kafanya kugombea urais iwe rahisi??

Ha ha ha ha sijui Kama ulifikiria uzito na maana ya kauli hii au uliandika tu alimradi ujaze server teh teh teh!!!
 
Hicho kwenye red si nasikia ndo mnatumiaga nyie kusikia? Ndo maana mnabong'oa ili kujua ndukum ya mbele yako inaujumbe gani sio?

Ndiyo maana unabwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Sasa nimeijuwa sababu.

Hujakanusha.
 
Hata nawe hujakanusha kuwa mnapobong'oa huwa mnasikilizia ndukum ya mbele yako inaujumbe gani!!! Tena mwanusaaaa
 
Umemtusi vibaya Sana kipenzi chako Leo....

Yaani hiyo kauli yako tukiamua kuichambua twaweza jaza kitabu!!!

Yaani JK kafanya kugombea urais iwe rahisi??

Ha ha ha ha sijui Kama ulifikiria uzito na maana ya kauli hii au uliandika tu alimradi ujaze server teh teh teh!!!

Huwa sikisii!

Jaribu uwezavyo hutaweza kuifikia rikodi adhyim ya Kikwete, waunganishe wote wa kabla yake kahafu niambie:

Walijenga shule ngapi (wote kwa pamoja)?

Walijenga vyuo vikuu vingapi (wote kwa pamoja)?

Walijenga zahanati ngapi (wote kwa pamoja)?

Walijenga barabara za lami kilomita ngapi (wote kwa pamoja)?

Tuanze na hayo kabla sijaja na ya utalii na mengineyo.

Pssssss! Usisahau kujumlisha na mkoloni wao.
 
Kwa hakika Kikwete kafanya kugombea Urais ni kitu rahisi sana.

Hiyo ndiyo demokrasia at its best ya Kikwete.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae hajawa "remote controlled" na Nyerere.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae aligombea Urais kwenye kinyang'anyiro cha CCM na kushindwa kwa mara ya kwanza kwa majungu tu. Ya nani?

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae ana CV iliyonyooka na ndefu (kabla ya kuwa Rais) kuliko Marais wote wa Tanzania wa kabla yake.

Wengi wanashindwa kuelewa kuwa Kikwete ndiye Rais pekee ambae hajaburuzwa na yeyote katika utawala wake.

Hatimaye bundi atua lumumba.
 
Huwa sikisii!

Jaribu uwezavyo hutaweza kuifikia rikodi adhyim ya Kikwete, waunganishe wote wa kabla yake kahafu niambie:

Walijenga shule ngapi (wote kwa pamoja)?

Walijenga vyuo vikuu vingapi (wote kwa pamoja)?

Walijenga zahanati ngapi (wote kwa pamoja)?

Walijenga barabara za lami kilomita ngapi (wote kwa pamoja)?

Tuanze na hayo kabla sijaja na ya utalii na mengineyo.

Pssssss! Usisahau kujumlisha na mkoloni wao.

Deni la taifa sh. Ngapi? Atalipa nani??

Kipi bora kukusanya kwa bidii ndipo utumie au kukopa kwa fujo utumie huku ukikusanya kwa mwendo Wa Kobe??
 
Hata nawe hujakanusha kuwa mnapobong'oa huwa mnasikilizia ndukum ya mbele yako inaujumbe gani!!! Tena mwanusaaaa

Sasa nimekubali, kwanza niliuliza swali tu, kabisa kuwa unasikia kutoka hukooooooooooooo!
 
Deni la taifa sh. Ngapi? Atalipa nani??

Kipi bora kukusanya kwa bidii ndipo utumie au kukopa kwa fujo utumie huku ukikusanya kwa mwendo Wa Kobe??

Taifa wanakopeshwa kwa shillingi? na nani? Mengi?

Swali la pili ni mforojo.
 
Back
Top Bottom