Rai yangu kwa vijana mliojipata vizuri, tengeneza mazingira ya kuja kumuinua mwanao kwa kumuajiri wewe mwenyewe au kumsaidia mtaji au asset ajiajiri

Joined
Mar 14, 2025
Posts
89
Reaction score
252
Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe.

Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku mwingine umemfungulia kibanda cha M-PESA lakini kijana wako anatembea na bahasha na kuzunguka kwa kila ndugu akisikilizia mchongo wa ajira

Sikufundishi jinsi ya kutumia pesa zako, ila tuachane na zile kauli walizosema baba zetu "mbona mimi hakuna alienipatia mtaji na nikajitafuta".

Ni muda muafaka sasa tufikirie kutengeneza generational wealth. Fanya consistently katika kila hatua ya ukuaji wa mtoto kwa muweka dukani tangu akiwa mdogo, mtoto mpelekeni shambani aangalie jinsi unavyoendesha mambo, etc
Screenshot_20250317-182117.png
 
true kabisa maana watu wamekuwa brainwashed kwamba ukiwa chawa chawa mjinga mjinga msifiaji ndio utatoboa maisha , kuna zama zinakuja kama huna akili na unaitumia sawasawa hutoboi maana haya mambo ya ujipendekeza ili upate sijui kitu gani yanakaribia mwisho wake.
 
Asante kwa ushauri
 
Pesa nyingi duniani zinapatikana kirahisi...Ndiyo maana kipaji kinauza sana .
 
Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe.

Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku mwingine umemfungulia kibanda cha M-PESA lakini kijana wako anatembea na bahasha na kuzunguka kwa kila ndugu akisikilizia mchongo wa ajira

Sikufundishi jinsi ya kutumia pesa zako, ila tuachane na zile kauli walizosema baba zetu "mbona mimi hakuna alienipatia mtaji na nikajitafuta".

Ni muda muafaka sasa tufikirie kutengeneza generational wealth. Fanya consistently katika kila hatua ya ukuaji wa mtoto kwa muweka dukani tangu akiwa mdogo, mtoto mpelekeni shambani aangalie jinsi unavyoendesha mambo, etc
Bonge la idea, hizi mindset za kizaman “hamna alienipa mtaji”, “urithi wako ni elimu” lazima zife, ndio zimetengeneza umasikini nchi hii
 
Back
Top Bottom