Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Safiiiii saaaana kamanda
kanyaga mafuta, maccn yanatumia ajenda ya zitto kutupotezea mafuta weka
no yako ya mpesa tukuperushie maji ya kunywa. Aunt Tibaijuka anakuogopa
km ukoma huku Muleba kusini wanaokubeza hawakujui.
Peeeeeeeeeeeeeeples

Asante sana kamanda kwa kunitia moyo.
 
Naogopa sana umewaambia ukweli hawa vijana wa CDM wajikite vijijini na sio kwenye laptop zao na simu za viganjani wakipiga propaganda!

Tofauti kubwa ya vijana wa CDM ni kuwa wanaamini watanzania wengi wanasoma mitandaoni kumbe la hasha!

Mawazo pekeyake hawezi kufanya lolote nyie wengine mmelala kwa wazazi wenu! Poleni sana lakini CCM ipo vijijini sana na huo ndio mtaji mkubwa na sio JF na FB Kama CDM wanavyoamini
 
Umekuwa shehe yahaya? hebu
tiririka utujuze;baada ya lowasa na cc ya magamba atafata nani? au baada
ya kulishwa sumu mwakyembe nani atafata? unaonekana wewe ni mpiga ramli
mashuhuri!

I like it...umemjibu vyema
 
Ni kweli hata yuda
alikuwa na mazur yake ila usalt wa zzk inatakiwa tuuogope kama ukoma na
tuombe asitokee mshenz firaun kama zitto na ndiposa tusonge mbele zzk ni
binadamu najua ana mwisho na uchafu wake utaingia kwenye
historia.

Well said
 
Mawazo mwisho wa siku utaambulia kutukanwa na vijana wenzako kisa umetoa hoja inayokinzana na utawala! Kamwe usiseme unachokiamini sema wanachokiamini!

Chadema hawana rafiki wa kweli hata siku Moja
 
Kwani chadema sasa agenda kuu ni ZZK wee Mawazo humuogopi Mbowe?

Watakufanyia Kama Yonah
 

Attachments

  • 1389244524535.jpg
    43.5 KB · Views: 37
Unaota ndoto za
mchana,nadhani kwenye hiyo mikutano yako ushaona ni jinsi gani zitto ana
influence kubwa katika jamii ya tz,unajipa moyo kwamba zito hajulikani
vijijini.

Nakuhakikishia,kila ninapotoa muda wa maswali hakuna hata moja linalohusu zito.
 
Yangu macho na utakuja kukumbuka haya kuwa CDM hawana rafiki wa kudumu wao wana maslahi tuu!

Kazi yote uifanyayo mwisho wa siku utaitwa Msaliti
 
Umekuwa shehe yahaya? hebu tiririka utujuze;baada ya lowasa na cc ya magamba atafata nani? au baada ya kulishwa sumu mwakyembe nani atafata? unaonekana wewe ni mpiga ramli mashuhuri!
Hayo mayowe yana mwisho,mkiujua ukweli wa mbowe tayari hali itakuwa mbayaaaaaaa
 
Nakuhakikishia,kila ninapotoa muda wa maswali hakuna hata moja linalohusu zito.

Nyie Vijana wa CHADEMA ni wanafiki sana, adui wa mbowe ni adui yenu, rafiki wa mbowe ni rafiki yenu, Naona mmeamua kucheza mziki wa Mbowe!
 
Njaa tu zinawasumbua!anyway tumikia kafir upate ujira wako
 
Mnatamani yaishe lakini hata hamjui yataishaje, nakumbuka kibabu chenu kilisema mjadala kuhusu Zitto umefungwa. Yako wapi sasa?
Mmewasha moto halafu mmeshindwa kuuzima, na mwaka ndo kwanza unaanza.
Mpaka ifike Disemba, kazi mnayo...

Maisha bora kwa kila mtanzania ndo hayo
 

Attachments

  • 1389245025024.jpg
    53.1 KB · Views: 47
Huyu Kamanda Mawazo sasa
anazunguka kila kona kukitangaza chama anasifiwa na kila mtu, ukitaka
uone Kamanda Mawazo hana maana hajaribu kugombea nafasi yoyote makao
makuu.

Hatuta hojiwa tulikuwa na cheo gani maishani,bali tuliwasaidia wangapi maishani kujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…