Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA


With God's love and help,tutashinda
 

Thought he was a verified user. Kaaah!!
 
Naona unaongea kirahisi rahisi tu!

Kwa nini unadhani anaongea kirahisi rahisi? huko vijijini maisha yanaendelea kama kawaida na siasa zinaendelea kama anavyosema mleta uzi, niko vijijini maeneo mbalimbali kwenye kazi zangu zaidi ya miezi 2, maisha yanaendelea kama kawaida wakati nyinyi mnatoana macho kwenye keyboards.
 
Sijakuelewa...pls.
''Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.''
mawazo hujaelewa nini?
je ni kweli chadema haina matatizo au umejitoa fahamu tu na kujifariji? tunajua hata mtu aliyeifiwa huwa anafarijiwa na kujifariji lakini ukweli unabaki palepale kwamba ameondokewa na kipenzi chake.
kwa ni i uanze kuwabembeleza kama kweli kwenye chama hakuna tatizo?
kuweni wakweli na huo tu ndo utakaowaweka huru, period.
 
great words....kauli yako ni ya kishujaa....
 
Oooh! kumbe ni kujadili tu mi nkajua tunaangalia huo mzigo umemuelemea mtanzania kwa sababu gani..nani kasababisha na nani anaweza kututoa hapa tulipo kwenda hatua nyingine????

Mjadala uwe tunatokaje hapa na nani ana potential za kututoa hapa kwendea tunako tamani kuwa! CHADEMA kwa hii level ya thinking hawawezi hii kazi!!
 
Kamanda nakutakia kila lakheri ktk kujenga chama mungu akutienguvu tupo pamoja na Mimi kesho nitakuwajimbo lamwakyembe
 

Come up with that new thinking,it might save time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…