Cheza na DHAMBI tu aina urafiki,Eti namsifu lema,Moyo wako upo katika tamaa ya kuona watu wanatenda DHAMBI na unafurahia na uku unajua kuwa DHAMBI ni CHUKIZO mbele za MUNGU.Jua dhambi ni SHETANI Mtumikie kwa kufurahia ila hipo siku utajuta kama KAPUYA.Dhambi imeshaua wengi Cheza nayo na Kuifurahia tu na usipotubu na kuacha Dhambi ITAKURALUA.Yan hili zee sijui likoje, ni kichaaa na zezete, amebaka mtoto, au kw sababu ya mambo ya kishirikina?
Namsifu Lema alimbaka yule changudoa (hili linajadilika)
Hii ni mbaya kuliko.. Ningependa kuona badhi ya wana CCM wakikemea hili ZeMarcopolo faiza Foxy Ritz Sumu Simiyu Yetu ..nk
sixgates
MSALANI
Simiyu Yetu
T2015CCM
ZeMarcopolo
Ritz
chama kipya..................Nawahitaji kwenye hii thread....Najua mpo mnarandaranda maana tumewabana pande zote.......
Njooni hima mumtetee mwana-ccm mwenzenu....
Naona chriss lukosi kasepa fasta.....
Yan hili zee sijui likoje, ni kichaaa na zezete, amebaka mtoto, au kw sababu ya mambo ya kishirikina?
Namsifu Lema alimbaka yule changudoa (hili linajadilika)
Nakubaliana na wewe lakini hapo kwenye kumpeleka jela hapana,ataenda kuwaambukiza wafungwa wenzake.Mi nasema,apigwe tu,maana tumechoka ati!!Unamwambukiza mtoto wa miaka 14 maksudi!Makinda,Kilango,Beatrice Shelukindo (50 kwa 50) mnaopigania kila siku haki za wamama mnafumbia macho haya?!Kweli ingekuwa ni kwa mamlaka yangu hata nyie hamstahili kuitwa Wabunge!
Sitaki kuamini mwehu kama huyu aliwahi kuwa "Waziri wa Elimu" kisha "Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa" yaani ndiye aliyekuwa bosi wa JWTZ na JKT vyombo vitukufu kabisa katika taifa letu.
Huwa najiuliza, hivi nchi hii hakuna vyombo vinavyozishauri mamlaka za uteuzi kabla ya kufanya uteuzi wa majitu kama haya kushika nafasi nyeti kama hizi? Eti saa ndio CCM wanajitetea ni "masuala yake binafsi"! Kubaka watoto tangu lini likawa "suala binafsi"? Jinai ni kosa dhidi ya Jamhuri, how comes leo likawa la binafsai kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM?
Kama taifa tutaendela kulea ujinga kama huu hadi lini? Majitu kama haya yataendelea kutamba hadi lini kisa yanalindwa na mfumo? Linatoa wapi moral authority ya kutoa vitisho kwa watoto wadogo lililowaathiri lenyewe? Na bado vyombo vya dola vinaangalia tu? Tulitegemea hadi muda huu (hata kama ni tuhuma) Kapuya yupo Central anahojiwa.
Nakala: Ritz, MSALANI, Taswira, FaizaFoxy, Mamndenyi, et. al.
Hutawaona wala kusikia wakikemea uovu wa aina hii,By tedo sixgates
MSALANI
Simiyu Yetu
T2015CCM
ZeMarcopolo
Ritz
chama kipya..................Nawahitaji kwenye hii thread....Najua mpo mnarandaranda maana tumewabana pande zote.......
Njooni hima mumtetee mwana-ccm mwenzenu....
Naona chriss lukosi kasepa fasta.....
Uliowataja ni mtandao ule ule hawawezi kusema kitu,K
Lakini hebu tuangalie hii orodha fupi:
1. Waziri anayohusika na jinsia na watoto -Sophia Simba (Mwanamke)
2. Spika wa bunge - Anna Makinda (Mwanamke)
3. Mwenyekiti wa kamati ya bunge inayohusika na ustawi wa jamii - Margreth Sitta (Mwanamke)
4. Mwenyekiti wa kamati ya bunge inayohusika na sheria na katiba - Pindi Chana (Mwanamke)
5. Executive Chairperson wa TACAIDS - Dr. Fatma Mrisho - Mwanamke
Nimetaja hao watu ili tuone kiini macho cha 'wanawake wakiwezeshwa - wanaweza'. Hata kauli juu ya mtoto wa kike yatima aliyebakwa na kuhukumiwa 'kifo', hawa wanawake walio kwenye ngazi za maamuzi hawajatoa!
hii habari inatusahaulisha zile KINANA za ZNZ.,.NAOMBA mizani ibalance,.. Kapulaya aliwe 0717...
kwahiyo angebaka tu bila kumuambukiza ngwengwe poa?
Kuna watu wanaangalia hii habari kirahisi sana. Hapa issue sio tu mwanasiasa amembaka binti mdogo. Kapuya is a paedophile, anayenyemelea vulnarable girls na mwishowe anawaachia death sentence. Huyu binti (yatima) kimsingi anatumikia death sentence.
Lakini hebu tuangalie hii orodha fupi:
1. Waziri anayohusika na jinsia na watoto -Sophia Simba (Mwanamke)
2. Spika wa bunge - Anna Makinda (Mwanamke)
3. Mwenyekiti wa kamati ya bunge inayohusika na ustawi wa jamii - Margreth Sitta (Mwanamke)
4. Mwenyekiti wa kamati ya bunge inayohusika na sheria na katiba - Pindi Chana (Mwanamke)
5. Executive Chairperson wa TACAIDS - Dr. Fatma Mrisho - Mwanamke
Nimetaja hao watu ili tuone kiini macho cha 'wanawake wakiwezeshwa - wanaweza'. Hata kauli juu ya mtoto wa kike yatima aliyebakwa na kuhukumiwa 'kifo', hawa wanawake walio kwenye ngazi za maamuzi hawajatoa! Na mbaya zaidi, kwa maelezo ya huyo binti, amefika bungeni na kueleza mkasa wote, lakini hakuna mtu aliyemsaidia?
Kwa sasa Kapuya ni mbunge, hivyo uongozi wa bunge unatakiwa kuchukua hatua stahiki.
TACAIDS, kama kweli wana nia ya kupambana na janga ya la UKIMWI, wamkamate Kapuya na kumfikisha mbele ya vyombo vya habari. Sidhani victim wa huyu kigogo ni mmoja tu, wapo wengi. TACAIDS izue hii mission ya kuuwa kama ambavyo huyu kiongozi anafanya.
Hata video ya lwakatale mwanzoni mlisema ni ya kutengeneza, baadaye ukweli ukagundulika sio ya kutengeneza.
Chadema ina ungonjwa mmoja. Kutokuamini vitu at the first sight.
ndugu zanguni watanzania ..
Kwa niaba ya moyo wa kizalendo nawasihi tumsamehe mtanzania mwenzetu mbunge wa urambo magharibi j. Kapuya kwa kitendo cha kumbaka na kumwambukiza maradhi ya ukimwi mtoto mwenye miaka 14 (alipombaka) ingawa kwa sasa ana miaka 16 anayesoma shule ya sekondari turiani iliyoko magomeni jijini dar es salaam.
Baada ya kushusha ghadhabu, khasira kali juu ya ndugu yetu huyu, tumtakie kheri kwenye majukumu yake haya yatayofuatia..
1:- aachie haraka kiti cha ubunge tena kwa muda usiozidi siku moja ijayo na asipofanya hivyo basi hastahili samehe yetu.. Na asipoachia kiti basi bosi wake amwajibishe haraka sana ili nchi isipasuke.
2:- apelekwe mbele ya sheria, aelewe jela sio kifo, ataendeleza maisha huko jela kwa sehemu ya umri wake uliobaki.
3:- wakati mashtaka yake yakiendelea, awe muungwana zaidi kwa nchi yake, asaidie kueleza viongozi wenzake wote na watoto wao wanaojishughurisha na mihadarati tena kwa uwazi kabisa bila woga wala chenga ili taifa lipone jamani.
Wakati haya yakiendelea kwa kapuya then
1:- spika anna makinda aachie haraka kiti cha spika wa bunge la jmt, kwa sababu kama mwanamke amediriki kufumbia macho udhalilishaji mkubwa namna hii kwa mtoto wa kike. Harakati za mtoto kukimbilia bungeni kwenye msaada kwa mwanamke mwenzake, huyo mwanamke kama yeye ndiye kwanza amebuni, kupanga na kuendeleza kumkandamiza mtoto huyo kike. Hafai wala haki haitomruhusu aendelee kuwa spika.
2:- wabunge wote wanawake na wengine ambao kwenye vichwa vyao angalau wanafikiri mtoto wa kike ni kitu katika jamii wasitishe shughuli za bunge mpaka hapo haki halali itapochukuliwa dhidi ya kitendo hiki. Kugomea bunge hadi haki kwa raia huyu, mnyonge, asiye na ndugu wala wazazi, aliyeathirika makusudi itapochukuliwa..
"WATOTO HAWA VIHEREHERE VYAO NDO VINASABABISHA " by JK the don..............!!ha ha ha ndo maana kapuya akapiga mzigo kama kawaida
Angalia Mkono wa kushoto ulipo na kazi unayofanya, binti amekoleaaaa! Aaaha wafwaa!!