Rai: Kapuya asamehewe...!

Rai: Kapuya asamehewe...!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
913
Ndugu Zanguni watanzania ..
Kwa niaba ya Moyo Wa kizalendo nawasihi tumsamehe mtanzania mwenzetu Mbunge wa Urambo Magharibi J. Kapuya kwa kitendo Cha Kumbaka Na kumwambukiza maradhi ya UKIMWI mtoto mwenye miaka 14 (alipombaka) ingawa kwa Sasa ana miaka 16 anayesoma Shule ya Sekondari Turiani iliyoko Magomeni jijini Dar es Salaam.

Baada ya kushusha ghadhabu, khasira Kali juu ya ndugu yetu huyu, tumtakie kheri kwenye majukumu Yake haya yatayofuatia..

1:- Aachie haraka kiti Cha ubunge tena Kwa Muda usiozidi siku moja ijayo Na asipofanya hivyo basi hastahili samehe yetu.. Na asipoachia kiti basi Bosi wake amwajibishe haraka sana ili nchi isipasuke.

2:- apelekwe Mbele ya Sheria, aelewe Jela sio kifo, ataendeleza maisha huko jela kwa sehemu ya umri wake uliobaki.

3:- wakati mashtaka yake yakiendelea, awe muungwana zaidi Kwa nchi yake, asaidie kueleza viongozi wenzake wote Na Watoto Wao wanaojishughurisha Na mihadarati tena Kwa Uwazi kabisa bila woga wala chenga ili taifa Lipone jamani.

Wakati haya yakiendelea Kwa Kapuya then

1:- Spika Anna Makinda aachie haraka kiti Cha spika wa Bunge la JMT, Kwa Sababu Kama Mwanamke amediriki kufumbia macho udhalilishaji mkubwa namna hii Kwa Mtoto Wa kike. Harakati Za Mtoto kukimbilia bungeni Kwenye Msaada Kwa Mwanamke mwenzake, huyo Mwanamke Kama Yeye ndiye kwanza amebuni, kupanga Na kuendeleza kumkandamiza Mtoto huyo kike. Hafai wala haki haitomruhusu aendelee kuwa spika.

2:- wabunge wote wanawake Na wengine ambao Kwenye vichwa vyao angalau wanafikiri Mtoto wa kike ni kitu katika jamii WASITISHE SHUGHULI ZA BUNGE Mpaka hapo haki halali itapochukuliwa dhidi ya kitendo hiki. Kugomea Bunge hadi haki Kwa raia huyu, mnyonge, asiye Na ndugu wala Wazazi, aliyeathirika makusudi ITAPOCHUKULIWA..
Watanzania Tumezidi Kuwa Na Tabia mbaya sana Za Uoga Na Ujinga. kila jambo Zito, Gumu Na baya Kwa nchi yetu Tumewatwika mzigo CHADEMA peke yao, ndio watusemee na Kututetea. Nayo Serikali bila haya inateketeza mabilioni kuimaliza CDM, Kwa propaganda, Vitisho, kutoatoa kucha bila ganzi Na Machafu mengineyo.

Serikali (ya CCM) imewapa majukumu watoto Na wapambe Wa Watoto wa Vigogo, hawa hawa anaojitapanao KAPUYA Kwamba wanauza madawa ya Kulevya, meno ya Tembo bila bughudha nchini Na kwamba Wao wako juu ya Sheria, kukesha Mitandaoni wakitukana Viongozi wa Juu wa CDM kila kukicha Na KILA MTU ANALIJUA HILI. Wanatetea madawa yao Na uuaji wao..

Ndugu watanzania, nchi hii haina hati miliki kwamba ni Mali ya Chama flani Bali ni Yetu Sote, Kama serikali imeoza sisi raia wakeHATUJAOZA. Itoshe Sasa, kila siku vijana wenzetu wanakufa Na matumbo Yao kupasuliwa Na kutoa mizigo ya watoto hawa wa Vigogo Na bila haya Huwa wanakwenda Hospitalini Na polisi Na kuchukua mizigo Yao Na kuwezesha vijana wengine maskini wenye njaa Na fedha.

Ni vijana wetu wangapi kila Leo hutengenezewa Passport Na kutafutiwa viza Na kurushwa kila pande Za DUNIA yetu Kwenda kutest aina zao mpya Za michanganyo ya madawa Na wengi Hufia huko huko Na kuzikwa maskini hao. Taifa Hili Kwa Kweli Samahani Mweshimiwa Rais ila Umelifikisha pabaya sana. Inauma mno, ni laana sana katika nchi. Ndio maana hata majirani zetu bila Sababu wanajitenga Na sisi hata wewe unajiuliza why? Ni laaNa mkuu.. Samahani vilaana laana hivi Mpaka nchi inaadhibiwa..!

Amka mkuu wa Nchi, Bado unaweza saidia kutengeneza tengeneza, mtoto wako mmoja sio wa Muhimu saana kuliko wanananchi Milioni 44.
Huu uzi unaibua hisia kali zaidi ya uharakati ndani yangu. CCM must go. Razima tuwe na kizazi kipya ktk uongozi wa nchi hii. Iwe kwa njia ya kura au vinginevyo. Haiwezekani watanzania wafanyiwe hivyo nikae kimya. Serikali hiko wapi iwatetee watoto awa? Nani awatendee haki watanzania kama si serikali?

Kuna watu wanaangalia hii habari kirahisi sana. Hapa issue sio tu mwanasiasa amembaka binti mdogo. Kapuya is a paedophile, anayenyemelea vulnarable girls na mwishowe anawaachia death sentence. Huyu binti (yatima) kimsingi anatumikia death sentence.

Lakini hebu tuangalie hii orodha fupi:
1. Waziri anayohusika na jinsia na watoto -Sophia Simba (Mwanamke)
2. Spika wa bunge - Anna Makinda (Mwanamke)
3. Mwenyekiti wa kamati ya bunge inayohusika na ustawi wa jamii - Margreth Sitta (Mwanamke)
4. Mwenyekiti wa kamati ya bunge inayohusika na sheria na katiba - Pindi Chana (Mwanamke)
5. Executive Chairperson wa TACAIDS - Dr. Fatma Mrisho - Mwanamke


Nimetaja hao watu ili tuone kiini macho cha 'wanawake wakiwezeshwa - wanaweza'. Hata kauli juu ya mtoto wa kike yatima aliyebakwa na kuhukumiwa 'kifo', hawa wanawake walio kwenye ngazi za maamuzi hawajatoa! Na mbaya zaidi, kwa maelezo ya huyo binti, amefika bungeni na kueleza mkasa wote, lakini hakuna mtu aliyemsaidia?

Kwa sasa Kapuya ni mbunge, hivyo uongozi wa bunge unatakiwa kuchukua hatua stahiki.

TACAIDS, kama kweli wana nia ya kupambana na janga ya la UKIMWI, wamkamate Kapuya na kumfikisha mbele ya vyombo vya habari. Sidhani victim wa huyu kigogo ni mmoja tu, wapo wengi. TACAIDS izue hii mission ya kuuwa kama ambavyo huyu kiongozi anafanya.
Na wanawake hawa wasipo react tuunganishe dot moja Kwa moja kwamba Nao wameshafanyiwa Na wanafanyia wengine .. Juzi hapa si kuna mwanamke mbunge wa Viti maalum CCM mjimama wa 60years, amediriki kuvuka mishipa ya aibu Kwa kuoa kavulana Ka miaka 26 since 2011. Sio kutembea nako Kaoa kabisa aisee kama watu hawaamini miujiza washuhudie huu..Nasema narudia Kusoma CCM IMEOZA.. Kama Mpaka Sasa yanakodolea Uzi hizi Kwenye mitandao Na wanaamini ni Upepo-utapita.. Huu si upepo ni Janga Na Halipiti bure.. Wajinga Kweli mnakiangamiza chama chenu ivi Ivi Kwa kufumbia macho masuala haya mkiamini yatapita -- YAPITEJE.. Mpaka Sasa mkuu wa kaya yuko kimya, spika kimya yamekodolea macho kama Panya waliobanwa mlango. Sikilizieni HATUA TUTAZOCHUKUA WANANCHI.. Tunatoa masaa 24 jambo litendeke amasivyo Nchi iwabomokee..!!
 
Kazi kwelikweli!! Inaonekana amewaambukiza ukimwi wengi!!! Kumbe hii ndiyo ilani ya CCM!!

7515210_orig.jpg


Kapuya4.jpg
 
Zitto akiwa tabora juzi amesema kati ya walioficha pesa uswiss bila kutaja majina ni

(1) aliyewahi kuwa waziri wa nishati na madini.
(2) aliyewahi kuwa makuu wa majeshi
(3) aliyewahi kuwa waziri wa ulinzi.

Nikijaribu kutegua kitendawili ni 1. Ngeleja, 2. Mboma, 3. Kapuya
 
Hebu tujiulize swali moja kama babu Seya alihukumiwa fasta fasta kwenda jela maisha yake kwa tuhuma za kuvibaka vitoto vya shule,ni kwa nini huyu Kapuya asikamatwe na kurundikwa ndani hadi hivi sasa?

Kama hilo la kumkamata na kumfungulia mashitaka ya kubaka Kapuya lisipofanyika haraka iwezekanavyo,tafsiri tutakayopata waTZ ni kuwa kumbe hata ibara iliyomo kwenye katiba ya Jamhuri ya Tanzania,inayosema watanzania wote wako sawa mbele ya sheria kumbe nayo ni maigizo,kwa kuwa in reality ndani ya TZ wapo watu wapo above law,kama alivyokiri mwenyewe Kapuya,kuwa wao.ndiyo wenye nchi,hawawezi kufanywa lolote,na zaidi ya yote ametamba kuwa yeye ndiye the next PM,after 2015 general elections!!

Sasa nimeprove beyond reasoanable doubt kuwa madudu yanayofanywa na watawala wetu hapa TZ,yanaweza.kabisa kuyafanya yaqualify kuwa miongoni ya Guiness World records!!
 
Duh, kama tanzania ingekuwa ni taifa linalofuata utawala bora, huyu babu alipaswa kuachia ubunge mara moja...
 
Ndani ya ccm hilo ni tone tu.lakini nakuunga mkono mleta mada.
 
Kapuya..anatamba mitaani Wakati babu Seya na Kesi ya kubuni anatekea yeye na ukoo wake
 
Huu uzi unaibua hisia kali zaidi ya uharakati ndani yangu. CCM must go. Razima tuwe na kizazi kipya ktk uongozi wa nchi hii. Iwe kwa njia ya kura au vinginevyo. Haiwezekani watanzania wafanyiwe hivyo nikae kimya. Serikali hiko wapi iwatetee watoto awa? Nani awatendee haki watanzania kama si serikali?
 
hii habari inatusahaulisha zile KINANA za ZNZ.,.NAOMBA mizani ibalance,.. Kapulaya aliwe 0717...
 
Aaaah pale ukumbi kwake millenium hall huchagua yeyote amtakae na anawapata daily na n wadogo zaidï
 
Yan hili zee sijui likoje, ni kichaaa na zezete, amebaka mtoto, au kw sababu ya mambo ya kishirikina?

Namsifu Lema alimbaka yule changudoa (hili linajadilika)
 
Kapuya bhana!? Kule kwenye uzi mwingine unaomhusu amenukuliwa akisema kwamba wao ndo wenye nchi hii na hawezi kufanywa lolote kwani hata watoto wao wanauza unga na hakuna anayewakamata!! Hapa ndipo tulipofikia kama taifa!! Aibu yetu watanzania na hasa wale wanaotuongoza.
 
Back
Top Bottom