Rai: Bangi na gongo vihalalishwe

Rai: Bangi na gongo vihalalishwe

Mkuu kwa cha arusha cna tatizo ila hiyo gongo aiseee watu wanaotumia ni kama vile wamekata tamaa yaani hawajielewi wapo wapo tu kwakweli siafiki gongo ina madhara mkuu.
Ndo maana nikasema iboreshwe kupata viwango sahihi vinavyokubalika na mamlaka za afya
 
Siku moja niliend kununua Bangi mid a ya jioni nikakuta watoto wa2 wa kike wanasoma Bible..'Bibi Yuko wapi?' Wakasema hayupo ila dawa ipo.. Basi wakaniuzia dawa pale wakaendelea na Bible yao. Nlifarijika sana kuhudumiwa na malaika wale.
 
Watu tunapiga debe viroba vizuiwe (advanced gongo) na banana wewe unataka vihalalishwe ungejua namna vilivyochangia madhara kwenye familia za watu usingeandika ulichoandika.

Ulishamuona mnywa gongo mwenye future hata mmoja wengi ni wezi na vichaa hawajali familia zao wala hawatii sheria vijana wengi wanaokataa shule na kuanza ujambazi huwa ni wavuta bangi tusiangalie manufaa yatokanayo na biashara hii

sababu hata wazungu walivyokua wakiwachukua mababu zetu utumwani na kutuibia rasilimali zetu walikua wanatengeneza faida.
 
Msumari wa kichwa ni kitu iko safi, iko safi tena saana kwa kichwa. Hata kilimo yake iko naleta pesa mingi kwa mfuko. Haitaji vitu vya kisasa vya gharama kuifadhi. Yenyewe unaweka kwa dalini tu inakuwa poa, inakuwa strong.
 
Umesoma na kuelewa vizuri nilichoandika au ume comment kupitia heading tuu? Kwani nimezungumzia viroba hapa?
 
msumari wa kichwa
 
Wakabaji pia wapewe ruhusa na watengenezewe vikundi vidogo vidogo,wapewe leseni na elimu ya ukabaji kama kutotumia vitu vyenye ncha kali kama visu na utoaji risiti ili ukitaka kukabwa tena basi unaonyesha risiti yako ili usikabwe.
 
Umesoma na kuelewa vizuri nilichoandika au ume comment kupitia heading tuu? Kwani nimezungumzia viroba hapa?
Sasa hapo ndio upime kati ya kiroba ambayo nimesema ni gongo iliyonakshiwa na nilon na gongo-mwitu yenyewe ambayo hata haijapunguzwa makali yake kama kiroba ipi mbaya?
 
Kwanza ni lazima uelewe kuwa mimi ni mpinzani wa viroba na nilishawahi kuweka post kuhusu hilo kwahiyo niliposema gongo liboreshwe na kufikia viwango vinavyokubalika kiafya ilikuwa ni pamoja na kuwa na vifungashio bora zaidi na sio huu uchafu wa viroba
 
Breweries wanafaya hiyo kazi moja ya products zao zilizokua kwenye level ya gongo awali ni chibuku.

Hivyo kutaka serikali iwape njia ya kuboresha kitu ambacho tayari kinazalishwa na makampuni ya ndani na nyingine kuagizwa nje sidhani kama inaleta maana sababu hata konyagi ile ni gongo iliyoboreshwa.

Wamama wauza gongo hawawezi kumudu ununuzi wa mitambo ya mamilioni ya fedha kufanya kazi ambayo inafanywa na wengine tayari.
 
Hapana si la lazima iwe ni binafsi, serikali inaweza kuwekeza huku na si sahihi kusema kuwa kwakuwa tayari tuna Konyagi basi brand nyingine zisiwepo

Post yangu kuhusiana na viroba hii hapa uuzaji holela wa pombe: tunahujumu uchumi na kuliangamiza taifa
 
Nimeiona tayari.

Ila ujue wakishaiboresha kama unavyoshauri haitakua tena ikiuzwa 100 au 200 kama ilivyosasa bali inaweza kuwa 500 kutokana na gharama za uendeshaji ikiwemo vifungashio tena hapo ndio inaangukia kwenye banana na viroba majanga mapya muonekano tofauti.
 
Hapana si la lazima iwe ni binafsi, serikali inaweza kuwekeza huku na si sahihi kusema kuwa kwakuwa tayari tuna Konyagi basi brand nyingine zisiwepo

Post yangu kuhusiana na viroba hii hapa uuzaji holela wa pombe: tunahujumu uchumi na kuliangamiza taifa
na ikishakua binafsi maana yake hawa wamama muuza waliopo kwa mamia mitaani watafaidikaje na hiyo transition ya gongo production kama serikali itaamua kumonopolize hiyo sector ya gongo inayoajiri mamia lakini inateketeza maelfu.
 
Back
Top Bottom