![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nimekuelewa
Kwa kweli bangi iruhusiwe tunahangaika kuvuta kwa kujificha mara tuchome udi.... Mbona sigara zavutwa ilhali zimeawekewa onyo ni hatari kwa afya wakati Huo BANGI HAINA ONYO LOLOTE?
udi na manukato kupoteza harufu! Watu na uzoefu waoNi kero sana, naunga mkono hoja bangi ihalalishwe![]()
![]()
udi na manukato kupoteza harufu! Watu na uzoefu wao
Hakuna bangi yenye stimu kali kama ya Ngaramtoni na Oldonyo sambu Arusha.
Kuna bangi ya kwenye chungu wanaitumia sana watoto wa Arusha....ile pafu moja tu inaweza kumfanya mtu akapizi.
Dah...hebu ngoja nitafute Rizzla kwnz hapa kwenye droo

Kabisaaaaa halafu uwe unanipa risiti nikishakunanihii.Km hivyo hata prostitution nayo ipewe leseni
Heeeeey mama Tembaaaaaa,nafwaaaa mie,kumbe nimeuziwa mbuzi kwenye gunia kiruuuuuuu mbulaaaaaaaaaaaa Yesu na Maria.hata mimi naunga hoja mkono
Kuendelea kutozitambua hizi bidhaa ni kuendelea kupoteza ajira nyingi na mapato mengi mengi
Tafiti nyingi zimethibitisha kuwa bangi ikitumiwa kwa kiwango cha chini ni tiba kwa magonjwa mengi hata kwenye ushirikina
Vile vile Vinywaji vingi vikali formula zake haitofautiani na gongo kwanini tusiwekeze huku?
Mkuu Mshana,ubarikiwe na usijali hao wanaosema waweza kuwa mtumiaji mkuu wa majani,wewe tupanue mawazo tujikwamue kiuchumi tu,kuchoma bhang sio jinai ni uraibu wa mtu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi ni mpinzani no moja wa kupinga matumizi ya mmea hata post nilishawahi kuweka lakini kila kitu sio negative kivile tunaangalia maslahi mapana ya Taifa
Ni nini hiyo Mkuu Arpaio?Mkuu kaangalie na kujifunza kupitia ile documentary Ya "Moonshiners" on Discovery channel ndio utajua madhara Ya moonshine
Ukichoma udi bado watasanda harufu...Kwa kweli bangi iruhusiwe tunahangaika kuvuta kwa kujificha mara tuchome udi.... Mbona sigara zavutwa ilhali zimeawekewa onyo ni hatari kwa afya wakati Huo BANGI HAINA ONYO LOLOTE?
Ni nini hiyo Mkuu Arpaio?
Usijali Mkuu,sisi tunakuelewa,achana nao Mkuu,.Umesoma kwa makini lakini nilichoandika?
Hahaaaaaaaaaaaaa wewe mkali,atakuja Ngabu hapa sasa hivi atamimina Kilatini mpaka nikimbie,yule American boy nuksi namuogopa bhana.Moonshine and hillbillies
Cc. Nyani Ngabu
Kweli mkuuHizi mambo siku zikihalalishwa basi hata watumiaji watapungua, hulka yetu wanadamu ni kupenda kitu kinachokatazwa(hasi, haramu).