Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

[/COLOR]

mie wazo la jamii halipogo kichwani mwangu kabisa,naishi nipendavyo, lakini baada ya hiko kitendo nikijifikiria nilisameheje sameheje huwa cpati picha kabisa, cjui ilikuwaje kabisa, na hakuamini kama kweli naweza lisamahe.....

mungu akuzidishie moyo kama huo wa mapenzi na huruma............................wengine tushakufa wadudu mwilini.
 
Acha kutudanganya hapa...
Wewe si ulisema ukiona ana cheat lazima kieleweke iweje tena ulimsamehe?
 
hapana Gaijin.....huo moyo haufai na cjui niliutoa wapi au coz alivyoniona akatimua nayo ikanipa ahueni? yaani huwa cjielewi ilikuwaje....wacha tu!...ninavyojijua na cjawahi kukumbushaga hata kidogo hapo ndio nachokaga kabisa, mana nilivyo na kinyongo ningekuwa namkumbushia kila tunapokwaruzana lakini hii walaaa nilishaisahau na maisha yanasonga.
 
Acha kutudanganya hapa...
Wewe si ulisema ukiona ana cheat lazima kieleweke iweje tena ulimsamehe?

ulishanisoma huko nyuma kwenye thread fulani kijana? au ndio umeshatoka kula wali maharage sasa unanicheulia mie?....lol
 
unataka ushahidi au unataka nini au umesahau?:becky:
 
ningekuwa na muda wa kufukunyua maelezo ya theard niliyoelezea ningefukunyua, najua ya kwako nitakupa maelezo/ kazi ya ziada....haya fykunyua leta hapa!...halafu unamchekea nani?...lol
 
Nakuchekea wewe kwa usahaulifu kama mkweo Makamba
 
na bora iendelee kubaki hivyo hivyo censored tu ...................thread isije ikafutwa πŸ˜›
 
ulishanisoma huko nyuma kwenye thread fulani kijana? au ndio umeshatoka kula wali maharage sasa unanicheulia mie?....lol

Yaani watu wengine kwa unoko sipati picha:fencing::fencing::fencing:
 
kwani mtibuji mtaalamu wa kitengo cha 'massage' ameshathibitisha kwamba sasa anaweza kujaribu mambo yetu yale mpwa?

Nimeshauriwa kufanya mazoezi na kujitibu KIVITENDO zaidi!!:A S 8::A S 8::A S 8:
 
Tuko mie nitakujibu hivi :If a man steal your wife there is no better revenge than to let him keep her, ila kiugumu unaweza kuvumilia kama unaweza na pia misikitini na dini nyingi zinasuport hiyo kitu kama unataka kumwacha kwa sababu hiyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…