Basi nyie hamna huruma kabisa,,
Mnataka mbabu wa watu afie kwenye kidonda??
Babu DC!!
Konnie,nye.....gere mbaya!
Mkuu huyo ndiye kongosho orijino,wengine fotokopi,mzoee tu mkuu.
Kwa nini tena me nipo serious kweli tena, nijibu kweye PM kama unaona aibu hapa, punguza aibu bana.
He he , ha ha ha ha
Babu bana, unaogoooopa.
Ngoja nikuibie siri( ni ushujaa kweli kuangusha simba mzee kuliko simba mtoto teh teh, afu wala huwa hawafi wanatoka jasho tu kama wanakisukari lol, usiogope sawa?)
et eeh haya ngoja tuone
mwanzoni ulikuwa unajuwa kuna raha si ndio??sasa kwa sisi ambao hatujaingia unatupa ushauri gani??
Kalenda zimeshaanza mapema kweupe kabisaa naona.
Unapotaka kuingia kwenye ndoa hakikisha uko tayari kufanya hivyo na usiingie kwenye ndoa kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa mapenzi ya kweli kwa pande zote mbili. Hakikisha unampenda kweli na anakupenda kweli.
Papizo wakati mwingine wala si wazazi bali ni vijana wenyewe! Unakuta kijana anataka kumwoa binti flani kwa sababu tu anatoka kwenye familia maarufu au yenye uwezo kifedha n.k. Na unakuta binti anakubali kuolewa na kijana flani huku akijua kuna mwingine anaempenda zaidi kwa vile tu huyo kijana anapesa na mali zaidi ya huyo mwingine. Na sababu nyingine nyingi ambazo baada ya muda mtu unakuja kujilaumu maisha yake yote.mhhhh ni kweli kabisa, ila ndio hivyo siku hizi sio kila mtu anaingia kwa kupenda bali wazazi ndio utasema mwone kwanza kila mahali wenzako wameolewa wewe tu bado sijui unasubiria nini, so sio kila mtu anakuwa you ready bali ni kulazmishwa tu kitu ambacho ni kibaya zaidi.
gfsonwin,hakuna mtu anaeweza kukupa furaha,furaha unayo mwenyewe.Hivyo ndoa haina furaha,lakini furaha ndo hisia ya juu kabisa inayomfanya mwanadamu kujisikia bora,mwenye afya na akiwa na furaha ataiona maana ya maisha.Namna ya kuipata furaha ni kujikubali kama ulivyo na kujitazama na kujipima kwa ubinadamu wako na sio kitu kingine cha nje yako.Ukishapata ridhiko la ndani utaanza kuhisi tofauti na utajiona si mwenye visirani tena.Hapo utaanza kuipata furaha.. . . . Raha ni kitu cha muda,kinakinaisha,hakuna tofauti kati ya raha na utamu.Unapopanda gari zuri au kulala kwenye kitanda kizuri unapata raha,lakini ukishazoea raha huisha. . . . Nikija kwenye swali lako,raha ya ndoa sio kitu kimoja ni vingi,baadhi umeviorodhesha hapo kwenye thread yako,ila navyo hukinai na kuna wakati mtu huiona ndoa haina maana.Yes,unaiona ndoa haina maana kwa sababu wengi kama sio wote tunawekeza kwenye vitu hivyo,tunadhani ndivyo vinamfanya mtu aifurahie ndoa.Badala ya kuwekeza kwenye raha,wekeza kwenye furaha na maswali yako yatapata majibu sahihi!
Rudi kwenye maandiko utajua kwanini watu wanaoana!"........Kwa sababu ya tamaa ya mwili kila mtu awe na mke wake mwenyewe......."
ram kwangu mimi raha ya ndoa ni tendo la ndoa tu kwani ndicho kitu pekee cha tofauti unachokipata ambacho hakikufanyi kuonekana kuwa mdhambi.So raha ya ndo ni tendo la ndoa?