Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
Ndoa za tamthilia hizo
raha yangu kwenye ndoa ni kuwaona watoto wangu wanapata mahitaji yote muhimu! na mume wangu apate amani ya roho in ol aspects, so that we can suport each other in achieving our daily bread and complete th happines we want.
Mimba!!Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima.
haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini?
je ni mchezo wa matusi tu,
au ni kuish na mtu umpendaye tu
au ni kuwa na familia tu
au ni nini?
hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.