Raha ya ndoa NI NINI?

Rudi kwenye maandiko utajua kwanini watu wanaoana!"........Kwa sababu ya tamaa ya mwili kila mtu awe na mke wake mwenyewe......."
sasa Eiyer kwasababu ya tamaa zamwili ndio raha yenyewe? hivi mtu akikuuliza kuoa au kuolewa kuna raha gani utamjibuje?
 
Last edited by a moderator:
raha ya ndoa ni pale uko na mtu na u feel 'home'...
na asipokuwepo u feel 'something is missing'...


ooh! boss come on speak it louder. do you want to tell kama mimi mwl nikiweza kuku entertain ukafeel Home basi hiyo ndio raha ya ndoa hata kama siyo mkeo au mumeo?
 
Last edited by a moderator:
sasa Eiyer kwasababu ya tamaa zamwili ndio raha yenyewe? hivi mtu akikuuliza kuoa au kuolewa kuna raha gani utamjibuje?

Sasa mi nikusaidie kabla ya kukujibu,unataka kujua raha ya ndoa au unataka kujua furaha ya ndoa?Maana kuna tofauth hapo!
 
Last edited by a moderator:
Sasa mi nikusaidie kabla ya kukujibu,unataka kujua raha ya ndoa au unataka kujua furaha ya ndoa?Maana kuna tofauth hapo!

sasa hapo umeniongezea kitu kingine ambacho sikijui. lol nimeipenda hii haya nieleze kwanza hii furaha ni nini? na hii raha ninini? kisha uniambie katika ndoa raha ni nini?
 
gfsonwin,hakuna mtu anaeweza kukupa furaha,furaha unayo mwenyewe.Hivyo ndoa haina furaha,lakini furaha ndo hisia ya juu kabisa inayomfanya mwanadamu kujisikia bora,mwenye afya na akiwa na furaha ataiona maana ya maisha.Namna ya kuipata furaha ni kujikubali kama ulivyo na kujitazama na kujipima kwa ubinadamu wako na sio kitu kingine cha nje yako.Ukishapata ridhiko la ndani utaanza kuhisi tofauti na utajiona si mwenye visirani tena.Hapo utaanza kuipata furaha.. . . . Raha ni kitu cha muda,kinakinaisha,hakuna tofauti kati ya raha na utamu.Unapopanda gari zuri au kulala kwenye kitanda kizuri unapata raha,lakini ukishazoea raha huisha. . . . Nikija kwenye swali lako,raha ya ndoa sio kitu kimoja ni vingi,baadhi umeviorodhesha hapo kwenye thread yako,ila navyo hukinai na kuna wakati mtu huiona ndoa haina maana.Yes,unaiona ndoa haina maana kwa sababu wengi kama sio wote tunawekeza kwenye vitu hivyo,tunadhani ndivyo vinamfanya mtu aifurahie ndoa.Badala ya kuwekeza kwenye raha,wekeza kwenye furaha na maswali yako yatapata majibu sahihi!
 
Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima.

haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini?

je ni mchezo wa matusi tu,
au ni kuish na mtu umpendaye tu
au ni kuwa na familia tu
au ni nini?

hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.

Kabla sijakupa mauzoefu ya ndoa yangu yenye miaka 47, naomba nikuulize masuali mafupi yafuatayo
1. Umeolewa?
2.Kwanini umeolewa?
3. Umefurahi kuolewa?
4.Kwanini umefurahi?
5.Hujafurahi kuolewa?
6. Kwanini hujafurahi

Nikiangalia hii sredi umeirusha saa tano kasorobo usiku. Kama umeolewa, mzee alikuwa wapi? Kama hujaolewa ulikuwa unawaza nini?

Ahsante kwa kujibu maswali yangu.

Will you marry me?:couch2:
 
Kabla sijakupa mauzoefu ya ndoa yangu yenye miaka 47, naomba nikuulize masuali mafupi yafuatayo
1. Umeolewa?
2.Kwanini umeolewa?
3. Umefurahi kuolewa?
4.Kwanini umefurahi?
5.Hujafurahi kuolewa?
6. Kwanini hujafurahi

Nikiangalia hii sredi umeirusha saa tano kasorobo usiku. Kama umeolewa, mzee alikuwa wapi? Kama hujaolewa ulikuwa unawaza nini?

Ahsante kwa kujibu maswali yangu.

Will you marry me?:couch2:

ndoa ni fumbo la imani...
 
Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima.

haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini?

je ni mchezo wa matusi tu,
au ni kuish na mtu umpendaye tu
au ni kuwa na familia tu
au ni nini?

hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.


Ni kupendana tu, maana upendo huleta mambo mengine yote yaliyosalia kama care, attention, wivu mzuri, support, kusaidiana, uaminifu, nk
 
nikishaoa nitakuambia..ila kwa sasa nasubiri ka 20 kangu kakue kidogo..
 
Mi nimekugongea pia nikitaka kujua, zaidi ya alivouliza Asprin, kama je umefikisha miaka 18?
Hahahahaha........... hommie Kaizer bana..... kumbe humjui gfsonwin? Huyu hapa.

5.jpg
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kujua raha zake hadi utoke!
Sasa gfsonwin hebu omba talaka ili ujue raha za ndoa ni zipi.
Bazazi nimekupa like kwa kunifanya nicheke leo lol! sijasema nataka nitoke but nataka kujua nini hasa raha ya ndoa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom