Raha ya kuwa single

Raha ya kuwa single

Kumbe tupo wengi wala vichochoroni
 
Hii ndiyo raha ya kuwa single, naamua ninachokitaka, narudi home muda ninaopenda na siulizwi na mtu. Nafanya ninachoweza siulizwi na mtu hata nisipokula home siulizwi nimekula wapi.

Sasa wewe kama upo na msichana usiniige mimi maana lawama sipendi.
Unataka kwenda haraka, au siyo? Sawa, endelea hivyo namimi nakuhakikishia hutakwenda mbali. Ukitaka kwenda mbali go with her. Hata hivyo nakuhakikishia huwezi kwenda haraka. Sasa chaguo ni lako.
 
Umeamua kuchomoka kwa kutumia lugha ngumu kusudi. Inawezekana labda kutongoza ina maana nyengine tofauti na uelewa wangu. Lkn kwa mwanaume kamili kutongoza lazima

Nimekupa namna pekee pengine ya kuupata ukweli, ambao umeung'ang'ania. Hiyo manual iliyoandikwa kwamba mwanaume kamili lazima kutongoza, iko wapi?
 
kuwa single raha sana hasa pale unapokuwa umefulia au una mpunga wa kutosha halafu hakuna mtu anakupiga mzinga....
 
Wakuu kma single ni nzur toen na album xbsa miaka ifke zaid ya 25 ww wimbo wko ule ule single single utachelewa kufka cz htoona haja ya kujiijenga kifamilia
 
Nahisi umetumia kichwa changu kuwaza Mkuu.

Kiualisia mwanaume anaogopa sana commitment maana haimsaidii....ila panahitajika tu sehemu ya kupunguzia oil....Marriage is a price men pay for sex, whereas sex a price women pay for marriage....sasa kama kuna sehemu sex inapatikana bila malipo ya ndoa huoni hilo ni jambo la faida kwetu?
Social pressure inawasumbua wengi.
 
Hebu angalia inbox hakujajaa pm za wadada??? Make humu KE ukizungumzia habari za usingo Au ubachela na kuelezea mawazo yako tu ME wanajaa inbox as if umesema unatafuta mchumba mi hata siwaelewagi! Anyway kuwa single kuna raha na karaha pia

Watajisumbua bure.kuwa na mwanamke kwa sasa cfikirii na wala cwazi akilini mwangu
 
hii misongo ya mawazo mibaya sana ... jamaa kawa mpweke kaamua kuja kutafuta wa kumfariji😀😀😀

Mkuu kila mtu ana malengo yake,cyo kwamba cpati usumbufu kutoka kwa madada napata sana,ila ni msimamo kwanza
 
Back
Top Bottom