xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Watu wanapiga hadi kwa kutumia nati.Hahaa,niliwahi kujaribu cku moja kipindi ni O level nilivimba uume vibaya sana,na ckuwahi tena mkuu.maana najua madhara yake
Watu wanapiga hadi kwa kutumia nati.Hahaa,niliwahi kujaribu cku moja kipindi ni O level nilivimba uume vibaya sana,na ckuwahi tena mkuu.maana najua madhara yake
Kumbe hujawahi basi huko mbeleni tegemea vingiCjawahi kupigwa kibuti hata cku moja ,labda huko mbeleni.na cwezi kukaa au kulaumu kisa mwanamke. Nasaka ela kama nilizaliwa na ela

Ni raha sana kuwa single.na huwa cfikirii kabisa kuwa na mke bado nipo nipo kwanza
hahah mi ninahisi harufu ya tangazo hapa, inabidi ailipie na mods wampe risiti kabisaUnakuwa single halafu huna ishu ya kukufanya uwe bize ni majanga.
Ila mbona kama unajitetea au unapigwa sana vibuti ukaona uje kujifaraji JF
Raha nyingine ya kuwa single utajifia bila msaadaHii ndiyo raha ya kuwa single, naamua ninachokitaka, narudi home muda ninaopenda na siulizwi na mtu. Nafanya ninachoweza siulizwi na mtu hata nisipokula home siulizwi nimekula wapi.
Sasa wewe kama upo na msichana usiniige mimi maana lawama sipendi.
HayaMkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
hahah mi ninahisi harufu ya tangazo hapa, inabidi ailipie na mods wampe risiti kabisa
inawezekana pia, tangazo indirect wayVipi tena kiongozi, kulikoni?
hii misongo ya mawazo mibaya sana ... jamaa kawa mpweke kaamua kuja kutafuta wa kumfariji😀😀😀![]()
![]()
inawezekana pia, tangazo indirect way